Kuna mtu nimemzimikia

Kuna mtu nimemzimikia

Waoow!! Thank you darling. Ntajitahidi unizalie mapacha... uzao mmoja tu tunamaliza kazi... then tunaanza kuizunguka dunia...
Usijali
Ukiniahidi kunikabidhi hati na yale mafao yako yote, tunaweza kuanza zoezi la kutafuta mapacha
 
Back
Top Bottom