Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
HeheheNzuri tu shemeji...
Furaha nikuona mnavyopendana na babu.
Asante
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HeheheNzuri tu shemeji...
Furaha nikuona mnavyopendana na babu.
Yule sio baunsa bhanasupermaket hapana sipendagi baunsa mm
Hebu leta akaunti namba zako nifanye mpango kukuwekea za kwenda kununua RaV 4 new Model.Usijali
Ukiniahidi kunikabidhi hati na yale mafao yako yote, tunaweza kuanza zoezi la kutafuta mapacha
Niambie mahabuba wangu, sabuni ya roho yangu.Jamani babu
sio ya kwao itabidi tu uingieYa kwao au
hahahhhNzuri tu shemeji...
Furaha nikuona mnavyopendana na babu.
eeenhShuni Sina shida na wewe najua ipo siku utachoka kuchezewa huko uliko utakuja kwangu kucheza mwenyewe
tehUsijali
Ukiniahidi kunikabidhi hati na yale mafao yako yote, tunaweza kuanza zoezi la kutafuta mapacha
ile avatar ndio atakua yupo vile ujue watu tunakusoma kutokana na avatarYule sio baunsa bhana
hilo jina mwambie Babu yako silitakiHehehe
Pole tafuta mwingine mbona wapo wengi au ulizaliwa nae peke akoSamahan ila inauma kuzungumzia matukio ya adam na hawa kuna wengine huku tumekimbiwa
Eeenh nini itika kwa sauti ya mahaba siunaona husi yupo mbalieeenh
Hapana Lakin nilimzoea sana. Ngoja labda nitampata humuPole tafuta mwingine mbona wapo wengi au ulizaliwa nae peke ako
Shunie nani??babu jina lako jipya silitaki naitwa shunie
Jina gani tena mamahilo jina mwambie Babu yako silitaki