Kuna mtu nimemzimikia

Kuna mtu nimemzimikia

hapo sawa kaka nimekuelewa na diva ukiona hatoshi ongeza mwingine kaka angu kipenzi mwanamme huwi na mwanamke mmoja
Hapana, mimi siwezi kugawa penzi, nina mshipa mmoja tu wa mapenzi, Diva akikubali kutulizana kwangu hatojuta
Cc Diva Beyonce
 
Back
Top Bottom