Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Tufanye mashindano tuone kama umefikia nusu ya namna navokupenda...Nakupenda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tufanye mashindano tuone kama umefikia nusu ya namna navokupenda...Nakupenda
hahhahah sio atakimbiaAtakuwekea chura
HeheheNimeona aibu mie mtoto wa mwanamke mwenzio.
Mimi sjataka matundu mengi
na mm sikutaki ata bureHaha....huyu anataka kunifanya mchepuko simtaki.
Melo nae anaweza kutupa shahidi bila shaka ha ha haaaa umetishaMoja walai Maxence Melo shahidi
Sema ukweeli sasa, au nianze kutaja mieKweli na msema kweli ni mpenzi wa bwana.
Vunja hiyo rohoHaha....huyu anataka kunifanya mchepuko simtaki.
Shunie sema ukweeli, yupo humu la azizi wako wa ukweelihuyo nani taja jina
Bado sio hoja hiiumeona kama espy alivyofanya [emoji23]
Kaangalie, naamini anayo moja ka mieHivii@Asprin kabadili ngapi?
Khaaaa...!!Ha ha haaa mkuu wa ma bazazi
Na nini tena jamaniMnaanza kunichanganya
Flesh naona keshapata atakacho kajipumzisha tu anatuchoraYupo anawasalimia
HeheheMm mbele sijulikani wala nyuma sijulikan
Hehehe, na kwelihahahah fursa kwa Daby huyu si utagonga like 20 kwa hasira
hivi dada swali gani hilo kwahyo hata ww huniaminShunie sema ukweeli, yupo humu la azizi wako wa ukweeli
Na manga au swali hujalielewa unaogopa kuuliza?na hali ya hewa hii nipo kwa bed [emoji23]
Walaaa!! Mie ninaofahamiana nao wooote niliwapa taarifa nilipobadili, na sababu yangu ya kubadili ni tofauti kabisaaaaa.umeona kama espy alivyofanya [emoji23]
We hufiki hata roboTufanye mashindano tuone kama umefikia nusu ya namna navokupenda...
hahahhah anatuchora tulivyoumiliki uzi wakeFlesh naona keshapata atakacho kajipumzisha tu anatuchora