Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
kissesBasi sawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kissesBasi sawa
Njoo tuangalie move Shaniehahahhh
[emoji39] [emoji39] [emoji8] [emoji8] [emoji8]kisses
kama nakuona ulivyocheka[emoji39] [emoji39] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
niliaga sakayo ndio kanirudishaNjoo tuangalie move Shanie
Nimekurudisha na nini pachaniliaga sakayo ndio kanirudisha
Wee acha tu ha ha haaakama nakuona ulivyocheka
Ndo nshagonjeka sasaalitaka kukuona utakuaje
Njoo basiniliaga sakayo ndio kanirudisha
Sina hata hamu ya kukaa hapautani pacha sipati picha Babu akiona atakavyocheka mm nilishaaga ujue au ndio umekuja kukesha na manga na Daby
Asante shemPole shem ujue tu kua me mmoja ke nyingi ndo fomula hiyo
Na mii nlitaka nikatembee na shaunie adi mida hiiNimekurudisha na nini pacha
Nendeni tuuNa mii nlitaka nikatembee na shaunie adi mida hii
Hivi Shunie eti nani kasambaza taarifa you're my bebe..kama nakuona ulivyocheka
Lala unono mamynipo kwa bed usiku mwema
Na ulivyo na huzuni ujue sijakuzoe hivyoNimekurudisha na nini pacha
Si amegoma tangu mchan sa hizi nampeleka wapi na kasema yy sio popo shemNendeni tuu
Pacha utan tuSina hata hamu ya kukaa hapa
Nipo nafunga uzi Leosakayo utamuona kesho, espy kashaaga na mm muda si mrefu nasepa.
Khaaaa haya mapya ata siyajui ndio mana nikakwambia huu uzi ufutwe sitembei kama hayo yanayoendelea siyajuiHivi Shunie eti nani kasambaza taarifa you're my bebe..
Kuna uzi naona mtu kakutaja then kanitaja. Umeuona? ?sijataka kucomment nitauharibu