Kuna mtu nimemzimikia

Kuna mtu nimemzimikia

espy usinigombanishe na ndg yangu jana umenipa kazi sana ya kumbembeleza acha aje akutane na mashahiri yake
Kwahiyo nawe ulikubali kabisaaa kushiriki dhambi hiyo? Huu undugu wa mashaka kabisaa. Maana kati ya watu wanaowafahamu michepuko ya babu wewe ni mmoja wapo, na ulitoa vitisho jana babu akanywea.
 
nafanyaje ndg kapenda hasikii chochote analia lia tu kuhusu babu au babu masai
 
Back
Top Bottom