Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
hahahhhhh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahhhhh
uwiiiiiii [emoji23]Uniwache nipumuweee...
najua babu ndio mana sakayo anakupenda sanaKwahiyo we hupendi mahaba??? Mi natoa mahaba sifanyi mapenzi...
Unajua tofauti ya mahaba na mapenzi???
Hapa mnazungumzia pension ya nani??hahahhhh sakayo akisikia habari pension atakufwaaa
Daby kasema ataunda group la mm na ww ili tumuonyeshe zagaa na yy atuonyeshe kirungu [emoji23]
espy atakujibuHapa mnazungumzia pension ya nani??
Hahahahahah uwiiii nijikute tu sema huamini kama nimekuchinjia baharini ....poyeee babu na PM sitaki unifate....Asa mbona unanibembeleza PM?? Niwache bhanaaa...
Ewaaaaa... huwa nammiminia mahaba na vitongoji vyake. Mtoto wa watu haambiwi kitu.najua babu ndio mana sakayo anakupenda sana
kale kambea sitaki jibu lake... mi nakutaka wewe.espy atakujibu
acha moyo wake usukume Asprin kama anavyosemaEwaaaaa... huwa nammiminia mahaba na vitongoji vyake. Mtoto wa watu haambiwi kitu.
Kabla hajaomba kishapewa.
Last time wakati anajipanga kuniomba nimnunulie Vitz new model, akajikuta kashakabidhiwa BMW kabla hajaongea.
Sipendagi ujinga kwenye mahaba mimi...
espy ndio kaleta hizo habarikale kambea sitaki jibu lake... mi nakutaka wewe.
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]hahahhhh sakayo akisikia habari pension atakufwaaa
Daby kasema ataunda group la mm na ww ili tumuonyeshe zagaa na yy atuonyeshe kirungu [emoji23]
Ya babu.Hapa mnazungumzia pension ya nani??
Kumbe unakubali kuwa unagawa mahaba hadi kwa vitongoji vyake!! Sakayo hatimae kasema mwenyewe usijesema hatukukwambia.Ewaaaaa... huwa nammiminia mahaba na vitongoji vyake. Mtoto wa watu haambiwi kitu.
Kabla hajaomba kishapewa.
Last time wakati anajipanga kuniomba nimnunulie Vitz new model, akajikuta kashakabidhiwa BMW kabla hajaongea.
Sipendagi ujinga kwenye mahaba mimi...
Alafu uache kunifata pm sitakiiiiiii.kale kambea sitaki jibu lake... mi nakutaka wewe.
Sakayo si kafuata penshion, soon moyo wake utasukuma ugali.espy ndio kaleta hizo habari