Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na wkt hizi za kwetu kaziona nyingi sisi shida yetu n yy tu mm ujue sijawahi kuziona kabisa yaan nimchungulie tu bas[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Kwakweli hiki anachotunyima daby we muache tu, kwani yeye anashida gani ya yetu? Sisi ndio tunashida na umasai wake bwana. Asitufanyie hivyo.
babu umeshajibiwaYa babu.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]We bado mtoto huwezi kujua lugha za wakubwa...
Mie namtafuta nimsalimie tu maana nimemmiss.ni mm tu au na ww unamtafuta Rogie ww ukimuona mwambie namsalimia tu
Na kweli yale yalikuwa mawazo ya kuvurugwa.hayo maneno aliongea baby wako sakayo jana wkt umemvuruga
Kwakweli atuache tuchungulie kidogo tu.na wkt hizi za kwetu kaziona nyingi sisi shida yetu n yy tu mm ujue sijawahi kuziona kabisa yaan nimchungulie tu bas
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] afanye wepesiDaah". hebu mtaje uondoe sintofahamu bana, usivuruge concentration mtu unaweza kuthani ni wewe kumbe sio, okoa mida.
haaha ha ,, na nilikuchokoza maksudi.. sasa mbona pm zangu hazifik kwako?Mie na wewe tumetoka mbali sana.Hicho kizee kimefikaje hapa?
ukimsalimia mwambie na mm namsalimiaMie namtafuta nimsalimie tu maana nimemmiss.
si atabaki nayo mwenyewe tuione tuKwakweli atuache tuchungulie kidogo tu.
Dada umeamkajeBabu nimeona ujumbe wako, asante kwa upendo wako
zinafika sema atakua anakuchunia [emoji23]haaha ha ,, na nilikuchokoza maksudi.. sasa mbona pm zangu hazifik kwako?
hehe.. sasa mbona ananimiss? au kuna step moja nairukaga?zinafika sema atakua anakuchunia [emoji23]
nahisi [emoji23] eb fanya kumtumia m pesa uone atakaa kimya au atajibuhehe.. sasa mbona ananimiss? au kuna step moja nairukaga?
hajatuma nambanahisi [emoji23] eb fanya kumtumia m pesa uone atakaa kimya au atajibu