Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Nitumie bwana.sasa si bora uje uzichukue umpekeleee?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitumie bwana.sasa si bora uje uzichukue umpekeleee?
Saint IvugaNani huyo?Mbona sielewi?
si espy kasema unakuja geto kuufuata?Si nausubiria huo mtonyo ulioniambia unanitumia
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Ujue nilikuwa na imagine ndiyo upo kwenye hayo majamboz unakuwajeee [emoji23][emoji23][emoji23]
Ooooh now I know
Umeamka vizuri lkn[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Huna akili wewe!
Sasa hivi kabadilika eti nimekuwa binamu yake sio dada yake tena!!Wala kaletwa humu na dada yako Honey Faith
Sasa my kaka vinavyonifanya nikaumizwe wewe hauwezi kunipa so inabidi tu nikakitafute huko nje.nakupenda sana dada yangu.. sipendi uumizwe bora nikulee tu ndani
Mweeeh gheto la mvua hii nitatoka huko salama kweli???si espy kasema unakuja geto kuufuata?
ial usome kwanza ile thread yule dada alikuwa anawaasa wavulana wanachotakiwa kufanya wakitembelewa na marafiki zao wa kike
Nitamweza kaka yako... ndiyo maana naogopaga kukutongoza ati..shemeji kama huyu sio mzuriSasa hivi kabadilika eti nimekuwa binamu yake sio dada yake tena!!
Niko poa kabisa shemeji yangu, wewe na wifi je?Umeamka vizuri lkn
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Alikuja mwenyewe nikamtoa nduki nikamwambia mfuate mwenzio
Wifi yupi tena shemeji... kwani haujui natafuta!Niko poa kabisa shemeji yangu, wewe na wifi je?
Ule ushauri ulisema hawatakiwi kutuacha tuondoke hivihivi maana ni kosa la jinai, hivyo watupatie pesa za kutosha.Mweeeh gheto la mvua hii nitatoka huko salama kweli???
Hivi si ulikuwaga unanitongoza? Uliishia wapi? Au ulighairi?Nitamweza kaka yako... ndiyo maana naogopaga kukutongoza ati..shemeji kama huyu sio mzuri
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kumbe mwenyewe unapenda kuchunguliwa. Muonyeshe bwana anitumie picha.
Asante kwa kukubali, nasubiri picha hapa.[emoji41][emoji41][emoji41]