Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Zile mbwembwe za changamsha damu. Akili, mawazo na roho yangu vyote vimebakia kwako.Nalijua hilo, ila kila uzi nakufuma na mchuchu tena tofauti, unajua nii kiasi gani naumia lakini
Unataka nifanyeje ili uamini nakupenda??