Kuna mtu nimemzimikia

Kuna mtu nimemzimikia

shunie n shemale
jamani na kujitutumua koe kununua ua hata asante ya kuzuga sijapewa .. haya kamata bulungutu hilo tuone
money.jpg
 
Post ya kijinga kama hii ina 1k reply. Kweli watanzania umaskini ni jadi yetu.
1
 
kwa heshima na taadhima mimi kama mod wa kambo naufunga huu uzi rasmi. baada ya husna kupotea. na mod wa kambo nimekuja kugundua kuwa husna ni id nyingine ya ndugu yangu wa damu mzee wa totoz Daby

Unanivunjia heshima ndugu. Nifungue I'd mpya then nijitongoze kweli naomba unitake radhi. Shunie yupo espy yupo Sakayo yupo nimekosa nini mimi pesa au maneno mazuri ya kuwahadaaa! !

husna muba popote ulipo Saint Ivuga amenivuruga njoo tukutane pm mama nakuja.
 
kwa heshima na taadhima mimi kama mod wa kambo naufunga huu uzi rasmi. baada ya husna kupotea. na mod wa kambo nimekuja kugundua kuwa husna ni id nyingine ya ndugu yangu wa damu mzee wa totoz Daby
Hivi shuni umeshindwa kunitetea hapa kweli.... niteteee tuufunge huu uzi haraka.
na sisi leo tumebanwa shinda na saint ivuga
 
Back
Top Bottom