Kuna mtu nimemzimikia

Kuna mtu nimemzimikia

[emoji23][emoji23][emoji23] waambie hatuachani hata kama hatuna vyeti vya kuzaliwa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umeona ee....
Watuache miaka miaaaaa....
 
[emoji4][emoji4][emoji4] love you too mamy.
Cc Shunie
Wewe jamaa yule mganga wako namjua naenda kumwambia atengue tunguli moja.. Haiwezekani shunnie anaona upo na husna ila anakutole macho kiasi hiki.. Roho inamtokaaaa wakati sie wengine tupo single ila anatuzungusha
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umeona ee....
Watuache miaka miaaaaa....
aiseee
 
To me You're such perfect treasure mamy than birth certificate [emoji7][emoji7]
 
Wewe jamaa yule mganga wako namjua naenda kumwambia atengue tunguli moja.. Haiwezekani shunnie anaona upo na husna ila anakutole macho kiasi hiki.. Roho inamtokaaaa wakati sie wengine tupo single ila anatuzungusha
mm wala hanitolei macho nikimtaka ata sekunde haichukui namuheshimu husna tu
 
Wewe jamaa yule mganga wako namjua naenda kumwambia atengue tunguli moja.. Haiwezekani shunnie anaona upo na husna ila anakutole macho kiasi hiki.. Roho inamtokaaaa wakati sie wengine tupo single ila anatuzungusha
Shunie huwezi mtongoza kama mwanaisha yule ulimchukulia tabata then ukampata.
Haha
 
Habari za weekend wana jf
Mwenzenu kuna MTU nimemzimia humu jf
Nikiona thread yake tu mapigo ya moyo yanabadilika, basi nitairudia kuisoma hiyo thread yani najiona ka Niko nae
Nilifikilia kumfuata pm but baadae nikaogopa nikaona anaweza akanuna akaja kunianika
Huku
Nifanye ñn?
NJOOOO TU IN BOX TUYAMALIZE NIME KUSOMA
 
Back
Top Bottom