Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Auntie ukuje unaitwa hukuMuite basi huku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Auntie ukuje unaitwa hukuMuite basi huku
Sasa ataonaje hapo sasa bila kumccAuntie ukuje unaitwa huku
Limenipitia hiloVeeeep tena
@espy auntie ukuje unaitwaSasa ataonaje hapo sasa bila kumcc
Kivipiii yaan jamanLimenipitia hilo
Akikuja unitage namimi@espy auntie ukuje unaitwa
Khaa yani akipitia atajua kweli?Kivipiii yaan jaman
Bado unazuga hujamuita apo hem toa sauti@espy auntie ukuje unaitwa
Si utakuwa umeshalalaAkikuja unitage namimi
Atajua tu ex wako mwenyewe auntie yangu mie tehKhaa yani akipitia atajua kweli?
KhaaaaaaBado unazuga hujamuita apo hem toa sauti
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aseeh tokwa tu... Afadhali wewe umepata wakwe wazuri maana anti yako kila mwisho wa week hakawiii kurudi nyumbani
Utafikiri mwendokasi.
Mmm atajuaje na mi yahoo juu bhanaaAtajua tu ex wako mwenyewe auntie yangu mie teh
Leo silali kwa ajili yake... Nataka tutafute wakwe wanaoeleweka kama wakoSi utakuwa umeshalala
Daaaah, kumbeMmh hujaniuliza hilo swali muhusika enzi hizo aliyezimikiwa ni baba angu mdogo angu [emoji4][emoji4]
Ahahah naona umemuamuliaLeo silali kwa ajili yake... Nataka tutafute wakwe wanaoeleweka kama wako
Yaan sijakuelewa kabisaMmm atajuaje na mi yahoo juu bhanaa
Hayo mengine yaliishaga