Kuna mtu wako wa karibu umeshindwa kumsamehe kwa alichokufanyia

Lakini huyo mshikaji wako si ametoa maoni kulingana na kile nilichosema mimi?
ahaa basi yeye katoa maoni kuhusu ulichosema wewe na mimi nikatoa maoni kuhusu alichosema yeye ila kupitia topic ya relation ya form three kauhusiano kanakuja🙄
 
Nadhani mimi naweza kuwa wa mwisho kuombwa msaada
Aisee... Basi atakuwa ana ubinafsi mwingi, majivuno/ujuaji mwingi, na kutokujielewa/kujitambua...

Ndio maana upo nae tofauti... I believe your a Good Woman, Smart Woman...
 
Ukimuona huwezi hata kuamini

Pengine anathamini zaidi watu wa nje wakiwemo marafiki, kuliko ndugu zake... Hivyo anajiweka smart nje ili aonekane mwema mbele ya jamii... Lakini sivyo... Hii ndio tabia kubwa ya watu wenye majivuno
Ukimuona huwezi hata kuamini
 
PETRO: Bwana, ndugu yangu anikose mara ngapi nami nimsamehe? Hata mara saba?

YESU: Sikuambii hata mara saba, bali hata saba mara sabini.
 
Pengine anathamini zaidi watu wa nje wakiwemo marafiki, kuliko ndugu zake... Hivyo anajiweka smart nje ili aonekane mwema mbele ya jamii... Lakini sivyo... Hii ndio tabia kubwa ya watu wenye majivuno
Ndivyo alivyo, watu wa nje walimuonaje mwema sasa. Sisi wenyewe tulikuwa tunamuona mwema hatari....dada yangu mmoja huyo ndo alikuwa besti yake hadi basi hadi ilikuwa yule binti akipishana kidogo na mimi nachambwa wee maana anajua mimi ndio mkorofi. Kuna kipindi alikuwa na ishu anafanya akaenda kukaa kwa huyo dada yangu walitibuanaa hadi akafikia hatua kumfukuza na akamwambia ukitoka hapa marufuku kwenda kwa mama yangu. Nikasema heee marafiki yamekuwa hayo tena[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aisee... Mungu amsamehe...

Anyway mpotezee tu... hakuna jambo zuri kama kumjua mtu na tabia zake... Hawezi kuisumbua akili yako... Sahau kumuhusu

Back
Top Bottom