Kuna mtu yeyote aliyefungua website ya tcu na aka login

KG.KASELO

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2013
Posts
252
Reaction score
20
Aisee,haya mambo sasa yamekuwa too much,hivi jaman kuna mtu yeyote aliyefanikiwa kufungua web ya tcu?alafu akaona information zake ziko vip?yaan program zake alizochagua,,,,maana mimi siku ya pili sana kila nikifunguas inafeli tu,,,msaada hapo jamani.:argue:
 
Hata mimi inasema service not available
 
Wait and watch. Kwan we unafikiri nn? Mshatuchosha na stor za tcu. Yan dizain kama hamjiamini vile!
 
Iko offline kwa muda wana upload matokeo. Just be calm
 
Wait and watch. Kwan we unafikiri nn? Mshatuchosha na stor za tcu. Yan dizain kama hamjiamini vile!

Ufaulu hafifu mkuu watu wana wasiwasi wanaweza wakaachwa si unajua waliofaulu wapo JKT.
 
Ufaulu hafifu mkuu watu wana wasiwasi wanaweza wakaachwa si unajua waliofaulu wapo JKT.

kumbe ndo maana unasomaa Baed, chuo cha kataa! Ufaulu na uelewa wako umeishia hapooo!! Overrr
 
Ufaulu hafifu mkuu watu wana wasiwasi wanaweza wakaachwa si unajua waliofaulu wapo JKT.

Nina wasiwasi na mawazo yako ya kusema, waliofaulu wapo jkt .. Nahisi hujui ka kuna watu walioenda Jkt Batch ya kwanza na kurudi na wengi wao wamefaulu sana as hata Selection za Shule zilizopeleka Jkt Batch ya kwanza, walichagua shule ambazo zilikuwa na historia ya Good perfomance
 
mkuu huyu jamaa hafikili mbali
 
madogo wa siku hiziii vilaza kweliii... wao kama wanajua wamefauliii kihereheru... cha kutujaziaa jukwaa kimetokea wapiii....
 
Wait and watch. Kwan we unafikiri nn? Mshatuchosha na stor za tcu. Yan dizain kama hamjiamini vile!

Umesoma psychology?..wako sahihi ku release unconsciousness "debriefing"...hata kama ungekuwa wewe hii hali ingekupata, samahani lakini mkuu,usikwazike..
 
huyu molembe hafai,,maana ndo comment zake za kukejeli

Ataelewa somo tu, Watu waliofaulu kwa bahati, huwa wanamdomo sana.. maana kufaulu kwao imetokea ka ajali tu..
 
Halafu wakiambiwa ukweli wanakuwa wakaliii.

ukweli gan ww uliyepata dv3 17 ukaenda lichuo la kata kusoma ualimuu! Ungekuwa na akili c ungecoma vyuo vya maanaa! wewe ni kilazaaaaa tuuu
 
Kumbukeni ukigombana na kilaza basi na wewe ni miongoni mwa vilaza.....
 
ukweli gan ww uliyepata dv3 17 ukaenda lichuo la kata kusoma ualimuu! Ungekuwa na akili c ungecoma vyuo vya maanaa! wewe ni kilazaaaaa tuuu

Huwa sipendi kubishana na watoto wadogo kama wewe nina watu saizi yangu humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…