Kuna mtu yeyote aliyefungua website ya tcu na aka login

Kuna mtu yeyote aliyefungua website ya tcu na aka login

jamani mkitupiana vjembe ivo hamtasolve ki2, hakuna cha maana cha kutoleana jasho hapo..
#dunia duara bana.
 
samahani ndugu mimi kuanzia niombe chuo sijawahi login kwenye tcu kila nikijaribu inasumbua inasema internal error shotdown

oho unalog in na browser gani?tumia mozila ,ila kwa siku hizi tatu website yao haipatikani.haina shida kama ufaulu wako mzuri chuo umepata na uliwekewa yes kwenye met minimum requirement
 
website zote za tcu zimefunguliwa but amazing stuation is *no any thing aploaded concerning selected students to various universities!
 
yan tangu ijumaa mazee TCU imefungwa, leo inafunguka ila hawajaeka lolote! xaxa jaman hawa waxe...ng walkua wana2pa maprexha ya nn?
 
Speeed Niliyokuja nayo hapa!! Bas bhana Ngoja nirud zangu
 
Wata upload vipi selection na ingali kuwa watu bado wanafanya application kwa mara ya tatu. Tumieni akili ndogo tu kuwa hadi hapo application zikifka mwisho watawatolea machaguo yenu.
 
Back
Top Bottom