Kuna mtu yeyote aliyefungua website ya tcu na aka login

No ucpite! Kaa kabisa utoe mawazo yako! Af uniambie jinsi ilivokua ngm kwako kupata credit c ya 4m4 ! Af mwenzako kajtahdbwana ana c ambayo e ya chuo kikuu. Toa maon yako chuo kinaendeka? au la! Km la kwanini tcu wamemselect? Tupe majib.
 
Hollah niadje ?,naomben mnisaidie wadau nna dogo wangu ali-apply hubert kairuk+imtu,,pamoja na vyuo vngne ila hvyo viwli ndio vlikuwa vimesema yes,,na alichagua 1st na2nd,, hadi xaxa bdo hajajua alikotupiwa wadau,nisaidien dogo hana raha yaan dah!
 
atachaguliwa tu kama jina lake halikutolewa
 
mbona unakosa umakini na huelewa,kila siku kitu kilekile kinaulizwa yaani kuna zaidi ya post 30 kwa hili jambo,na majibu yanatolewa mazuri,
sasa yanini kulidia kitu kile kile uko ni kujitia aibu ndugu,labda uniambie kama hausomo thread/post za watu wengine.
zingatia; taarifa za tcu zikitoka ni lazima utazipata tu,inshu ya tcu ni habari kubwa sana(big news) wala hamna haja ya kuulizia kwa kiasi kikubwa hivi.
 
ukiona 2nadai 2nataka kujua wadau unajua mwaka jana mda kama hii tayari walikuwa washaachia yani
 
ukiona 2nadai 2nataka kujua wadau unajua mwaka jana mda kama hii tayari walikuwa washaachia yani

true,lakini mwisho wa siku lazima selection zitoke na watu waende chuo.
mambo yana badilika mkuu mwaka adi mwaka,mwaka huu mtokeo ya fom6,yamechelewa kidogo compare na mwaka jana.
yote kwa yote mwezi wa 10 lazima wanafunzi waaanze kuripoti vyuoni.
 
wadau kuna wa2 wana2mia lugha ambazo sio. lengo la kuwa humu ni kupeana elimu na si malumbano au ma2si kwani mbona lugha ye2 inamaneno mazuri ya kueleweshana bila ku2mia lugha mbaya. au mnaoje wadau wenzangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…