Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hollah niadje ?,naomben mnisaidie wadau nna dogo wangu ali-apply hubert kairuk+imtu,,pamoja na vyuo vngne ila hvyo viwli ndio vlikuwa vimesema yes,,na alichagua 1st na2nd,, hadi xaxa bdo hajajua alikotupiwa wadau,nisaidien dogo hana raha yaan dah!
okey fresh ila st john ilikuwa 1st choise.
Mwaka upi ndg allen?[/Q
huu wetu wa ki jkt
Aisee,haya mambo sasa yamekuwa too much,hivi jaman kuna mtu yeyote aliyefanikiwa kufungua web ya tcu?alafu akaona information zake ziko vip?yaan program zake alizochagua,,,,maana mimi siku ya pili sana kila nikifunguas inafeli tu,,,msaada hapo jamani.:argue:
ukiona 2nadai 2nataka kujua wadau unajua mwaka jana mda kama hii tayari walikuwa washaachia yani