oho unalog in na browser gani?tumia mozila ,ila kwa siku hizi tatu website yao haipatikani.haina shida kama ufaulu wako mzuri chuo umepata na uliwekewa yes kwenye met minimum requirement
Wata upload vipi selection na ingali kuwa watu bado wanafanya application kwa mara ya tatu. Tumieni akili ndogo tu kuwa hadi hapo application zikifka mwisho watawatolea machaguo yenu.