Kuna mtu yeyote aliyefungua website ya tcu na aka login

acheni wenge vijana. vyuo mtapata kama mlifaulu.mtakufa na BP bure
 
Mi nimemuelewa anasema alicheki kwa air tell akaona kachaguliwa MT meru, lilipotoka tangazo la waliokosa kuapply tena akaaplly na tcu wamekubali tena maombi yake.
 
Mi nimemuelewa anasema alicheki kwa air tell akaona kachaguliwa MT meru, lilipotoka tangazo la waliokosa kuapply tena akaaplly na tcu wamekubali tena maombi yake.

swali? Je alikuwepo kwenye majina ya wanaotakiwa kujaza 2nd,3rd round! Kama hakuwepoo bas anajisumbua tuuu
 
nadhani hana uhakika na selection tulizoangalia kupitia airtel.
 
hakuna mzigo uliopakiwa wala nn? Wamepakua kila kitu. Nothing displayed zaidi ya kukuonesha stakehoders online
 
nikisema i hate tcu watu wanakuja juu. Nothing displayed unapolog in via CAS
 
oho unalog in na browser gani?tumia mozila ,ila kwa siku hizi tatu website yao haipatikani.haina shida kama ufaulu wako mzuri chuo umepata na uliwekewa yes kwenye met minimum requirement

Natumia mozilla ndio ila kila nikilogin inagoma pia mm npo jkt huku sielewi nn kinaendelea nisaidieni wandugu kama nimechaguliwa no.ni s816/0030/2009 pswed happyg
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…