Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
anastua watu kinoma......kwan tcu walisema wakirudi hewani ndo selections ztakuwa tayari.....?Speeed Niliyokuja nayo hapa!! Bas bhana Ngoja nirud zangu
Waliopo jeshi tunashida mimi tuu ndio nawapa taarifaa mana,mm bila simu siwezi perform kazi hata kidogo
andika tena mwanachuo wa mount meru!
Speeed Niliyokuja nayo hapa!! Bas bhana Ngoja nirud zangu
Wakuu nawasilisha hoja mana wengne walichelewa kuangalia yatosha ila mara ya mwisho yatosha ilisema, your admission is successfully completed wait for the final aproval. Ndo kumanisha nini chuo kapata au ? Je kuna majina mengne ya watakaokosa vyuo zaidi ya yale ya 2nd na 3rd round.? Wakuu tuelimishane hapa mana watu washaenda dilema.