Kuna mtu yeyote aliyefungua website ya tcu na aka login

Kuna mtu yeyote aliyefungua website ya tcu na aka login

Waliopo jeshi tunashida mimi tuu ndio nawapa taarifaa mana,mm bila simu siwezi perform kazi hata kidogo
 
Kwa pass hizi tcu watamchagua?
Histori=E, Kiswahili=E, Language=E,
GS=s je atapata chuo? Na asomee nini? Msaada jaman!
 
Udom kuna course kibao za kusoma kwa hizo pass zake!!na udom course zote cut off point ni 2.5..(refer admission guide book.)..pia kuna vyuo vyengine cut off ni 3.0..
 
Ili ukasome degree ni principal mbili ambazo ye anazo na ni point 2.5 ambazo pia anazo .
Aende education kama vp au apitie tcu guidebook atafute programme na chuo ambacho kitamchukua kwa hzo cuttoffpoints 3.5
 
Wakuu nawasilisha hoja mana wengne walichelewa kuangalia yatosha ila mara ya mwisho yatosha ilisema, your admission is successfully completed wait for the final aproval. Ndo kumanisha nini chuo kapata au ? Je kuna majina mengne ya watakaokosa vyuo zaidi ya yale ya 2nd na 3rd round.? Wakuu tuelimishane hapa mana watu washaenda dilema.
 
Huyo ameshapata chuo..
 
mbona kapiga fresh tu! udom na vyuo vingine kibao wanachukua 2.5
 
Back
Top Bottom