Mi pia nilifanya application lakini sijapokea card mpaka leoMimi nili apply around three times lakini sijawahi kupokea hio card..
Umechukua muda gani kupata card yako.Jaribu tena Mkuu! Mimi nili apply only one time! Na ipo registered tayari!
NAOMBA MSAADA COZ WANAKATAA KUTUMIA P.O.BOX WANAKA RESIDENT ADDRESS NAOMBA MZAADA JINSI YA KUJAZA IYO RESIDENT ADDRESS HAPA BONGO NIWEZE KUPATA KADI? MSAADA ALIYEPATA ALIJAZAJE?[/QUOTE
.
Watatuma kupitia hiyo P.O.Box uliyojaza.But hiyo physical address wanaitaka ili kuthibitisha mahali unapokaa(makazi).But Card utaikuta kwenye box ulilojaza.Mimi nilipata within 18 days , last year.
Ili kuweza ku-activate card yako ingia(login) kwenye website ya Payoneer.Utayakuta maelezo hapo.Kwa mara ya kwanza uliwekaje pesa ya ku activate card mkuu?
Nilipitia mkuu, moja ya maelezo ni kwamba ili account yako iwe activated ni lazima uweke pesa. Swali langu ni kwamba pesa ya ku activate account yako ulitumia njia ipi kuweka kwenye account yako?Ili kuweza ku-activate card yako ingia(login) kwenye website ya Payoneer.Utayakuta maelezo hapo.
Kwa mara ya kwanza uliwekaje pesa ya ku activate card mkuu?Wiki 3 Tu mkuu! Waliniambia baada ya wiki 3 mpaka mwezi 1 niende kucheki Na Kweli nlivyoenda nikaikuta..View attachment 334534
hauwezi kununulia kitu online?Haina mambo ya kuactivate mkuu, hii ni special kwa ajiri ya kupokea pesa Tu! Ukitumiwa kadi unaenda kwenye website yao na Kui activete hapo for free!
Hapana! Ila Kama unauza online ndo inakufaa, unawa direct clients wako wakulipe kwa Payoneer, then wewe unaweza kutoa pesa kwenye ATM yoyote ambayo Ina support Master ama Visa cards Worldwide! Bila kuwa hata na Bank account!hauwezi kununulia kitu online?