Kuna mtu yeyote ameshatumia Payoneer Master Card?

Kuna mtu yeyote ameshatumia Payoneer Master Card?

Powder

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2016
Posts
4,977
Reaction score
6,635
Habari wakuu! Mimi Ni mmoja Kati ya watu wanaouza kazi zangu Ulaya, Australia Na America online, naumizwa Sana Na kutotambulika kwa PayPal hapa Tanzania, inapelekea Mara nyingi kutumia Western Union ambayo Ina makato makubwa kupelekea Clients kulalamika, sasa pita yangu mitandaoni nikakutana Na Payoneer, nika apply Na Jana nimepata Card yangu ya Payoneer toka America, ambapo itaniwezesha Kutoa pesa kwenye ATM yoyote inayo accept Master Card Worldwide bila hata kuwa Na Account ya Bank, naomba kujua Kama Kuna mtu hapa ashawahi tumia Payoneer? Ili anipe uzoefu wake!
 
Mimi nili apply around three times lakini sijawahi kupokea hio card..
 
Mi pia nilifanya application lakini sijapokea card mpaka leo
Ooh! Pole mkuu! Kwa nini? Mimi nili apply one time Tu baada ya 3 weeks nikapokea Card yangu, jaribu Ku apply tena, ukikazia Na email juu!
 
Mimi nili apply around three times lakini sijawahi kupokea hio card..
Jaribu tena Mkuu! Mimi nili apply only one time! Na ipo registered tayari!
 
Umechukua muda gani kupata card yako.
Wiki 3 Tu mkuu! Waliniambia baada ya wiki 3 mpaka mwezi 1 niende kucheki Na Kweli nlivyoenda nikaikuta..
WP_20160403_21_14_31_Pro.jpg
 
Mkuu naomba uni pm namba yako ninajambo muhimu la kukuuliza
 
NAOMBA MSAADA COZ WANAKATAA KUTUMIA P.O.BOX WANAKA RESIDENT ADDRESS NAOMBA MZAADA JINSI YA KUJAZA IYO RESIDENT ADDRESS HAPA BONGO NIWEZE KUPATA KADI? MSAADA ALIYEPATA ALIJAZAJE?
 
NAOMBA MSAADA COZ WANAKATAA KUTUMIA P.O.BOX WANAKA RESIDENT ADDRESS NAOMBA MZAADA JINSI YA KUJAZA IYO RESIDENT ADDRESS HAPA BONGO NIWEZE KUPATA KADI? MSAADA ALIYEPATA ALIJAZAJE?[/QUOTE
.

Watatuma kupitia hiyo P.O.Box uliyojaza.But hiyo physical address wanaitaka ili kuthibitisha mahali unapokaa(makazi).But Card utaikuta kwenye box ulilojaza.Mimi nilipata within 18 days , last year.
 
Watatuma kupitia hiyo P.O.Box uliyojaza.But hiyo physical address wanaitaka ili kuthibitisha mahali unapokaa(makazi).But Card utaikuta kwenye box ulilojaza.Mimi nilipata within 18 days , last year.

Kwa mara ya kwanza uliwekaje pesa ya ku activate card mkuu?
 
Ili kuweza ku-activate card yako ingia(login) kwenye website ya Payoneer.Utayakuta maelezo hapo.
Nilipitia mkuu, moja ya maelezo ni kwamba ili account yako iwe activated ni lazima uweke pesa. Swali langu ni kwamba pesa ya ku activate account yako ulitumia njia ipi kuweka kwenye account yako?
 
Kwa mara ya kwanza uliwekaje pesa ya ku activate card mkuu?
Haina mambo ya kuactivate mkuu, hii ni special kwa ajiri ya kupokea pesa Tu! Ukitumiwa kadi unaenda kwenye website yao na Kui activete hapo for free!
 
Haina mambo ya kuactivate mkuu, hii ni special kwa ajiri ya kupokea pesa Tu! Ukitumiwa kadi unaenda kwenye website yao na Kui activete hapo for free!
hauwezi kununulia kitu online?
 
hauwezi kununulia kitu online?
Hapana! Ila Kama unauza online ndo inakufaa, unawa direct clients wako wakulipe kwa Payoneer, then wewe unaweza kutoa pesa kwenye ATM yoyote ambayo Ina support Master ama Visa cards Worldwide! Bila kuwa hata na Bank account!
 
Back
Top Bottom