Mkuu jitahidi kua na utaratibu wa kukata kucha kidogo! Dah.Wiki 3 Tu mkuu! Waliniambia baada ya wiki 3 mpaka mwezi 1 niende kucheki Na Kweli nlivyoenda nikaikuta..View attachment 334534
Jamaa umeona kucha tuMkuu jitahidi kua na utaratibu wa kukata kucha kidogo! Dah.
Pole mkuu, badala ya kujibiwa swali lako umejikuta wewe ndio ukijibu. Hii ndio bongo,Habari wakuu! Mimi Ni mmoja Kati ya watu wanaouza kazi zangu Ulaya, Australia Na America online, naumizwa Sana Na kutotambulika kwa PayPal hapa Tanzania, inapelekea Mara nyingi kutumia Western Union ambayo Ina makato makubwa kupelekea Clients kulalamika, sasa pita yangu mitandaoni nikakutana Na Payoneer, nika apply Na Jana nimepata Card yangu ya Payoneer toka America, ambapo itaniwezesha Kutoa pesa kwenye ATM yoyote inayo accept Master Card Worldwide bila hata kuwa Na Account ya Bank, naomba kujua Kama Kuna mtu hapa ashawahi tumia Payoneer? Ili anipe uzoefu wake!
Ukate hizo kucha zinatisha!!Wiki 3 Tu mkuu! Waliniambia baada ya wiki 3 mpaka mwezi 1 niende kucheki Na Kweli nlivyoenda nikaikuta..View attachment 334534
Si washawajibu kuwa zina kazi ake specialUkate hizo kucha zinatisha!!
Sio kweli, PayPal ndo ambayo haitambuliki, Payoneer unaweza kuitumia Worldwide coz huitaji kui activate kadi yako Bank, Ili mradi ATM utayotumia iwe Ina support Master Cards!Mimi nime order mwezi Jana ndo nasikilizia wanitumie
Lakin kuna mtu mmoja alisema kuwa kwa tz huu mfumo wa payooner haukubaliki hapo kuna ukweli?
Vp Mkuu umeshaanza kutumia hii kadi hususani kutolea pesa?! Kama ndiyo, gharama zake zipo vp ukilinganisha na wire transfer?! Nataka kupumzika wire transfter manake maumivu ni makubwa mno... zaidi ya Sh. 70,000 ya Tanzania! Kuna wakati nilijifanya kuikwepa wire transfer nikatumia Skrill kufanya transfer, nikajikuta nimetumia $2 zaidi ya wire transfer!! Nikagundua kumbe wakati wanajifanya international money transfer; wao wanatumia third part (bank) ambazo huchaji $30; na wao wenyewe (Skrill) wanachukua $2; zikifika Tz, bank nao wanachukua chao!Na Payoneer, nika apply Na Jana nimepata Card yangu ya Payoneer toka America, ambapo itaniwezesha Kutoa pesa kwenye ATM yoyote inayo accept Master Card Worldwide bila hata kuwa Na Account ya Bank, naomba kujua Kama Kuna mtu hapa ashawahi tumia Payoneer? Ili anipe uzoefu wake!
Mkuu, Habari yako mkuu, tafadhari naomba unifahamishe ni namana gani ninaweza pokea card yangu ya payoneer maana sijawahi pokea mzigo kutoka nje ya nchi, nimeona kwamba wewe ulisha pokea card hiyo, so please naomab unisaidie mawazo mkuu,Sio kweli, PayPal ndo ambayo haitambuliki, Payoneer unaweza kuitumia Worldwide coz huitaji kui activate kadi yako Bank, Ili mradi ATM utayotumia iwe Ina support Master Cards!
Mkuu tembelea official website yao, jisajiri then uta apply Card yako, utaweka details zako ikiwemo Box number, so Wao watakutumia kupitia Posta, ndani ya mwezi mmoja Card yako inakua tayari!Mkuu, Habari yako mkuu, tafadhari naomba unifahamishe ni namana gani ninaweza pokea card yangu ya payoneer maana sijawahi pokea mzigo kutoka nje ya nchi, nimeona kwamba wewe ulisha pokea card hiyo, so please naomab unisaidie mawazo mkuu,
0658129251
IDD ALLY
Mkuu nategemea kuitumia hii huduma next week katikati, ntaleta mrejesho hapa!Vp Mkuu umeshaanza kutumia hii kadi hususani kutolea pesa?! Kama ndiyo, gharama zake zipo vp ukilinganisha na wire transfer?! Nataka kupumzika wire transfter manake maumivu ni makubwa mno... zaidi ya Sh. 70,000 ya Tanzania! Kuna wakati nilijifanya kuikwepa wire transfer nikatumia Skrill kufanya transfer, nikajikuta nimetumia $2 zaidi ya wire transfer!! Nikagundua kumbe wakati wanajifanya international money transfer; wao wanatumia third part (bank) ambazo huchaji $30; na wao wenyewe (Skrill) wanachukua $2; zikifika Tz, bank nao wanachukua chao!