Kuna mtu yeyote ameshatumia Payoneer Master Card?

Mimi nime order mwezi Jana ndo nasikilizia wanitumie
Lakin kuna mtu mmoja alisema kuwa kwa tz huu mfumo wa payooner haukubaliki hapo kuna ukweli?
 
Habari wakuu! Mimi Ni mmoja Kati ya watu wanaouza kazi zangu Ulaya, Australia Na America online, naumizwa Sana Na kutotambulika kwa PayPal hapa Tanzania, inapelekea Mara nyingi kutumia Western Union ambayo Ina makato makubwa kupelekea Clients kulalamika, sasa pita yangu mitandaoni nikakutana Na Payoneer, nika apply Na Jana nimepata Card yangu ya Payoneer toka America, ambapo itaniwezesha Kutoa pesa kwenye ATM yoyote inayo accept Master Card Worldwide bila hata kuwa Na Account ya Bank, naomba kujua Kama Kuna mtu hapa ashawahi tumia Payoneer? Ili anipe uzoefu wake!
Pole mkuu, badala ya kujibiwa swali lako umejikuta wewe ndio ukijibu. Hii ndio bongo,
 
Nimetoka kuipokea Mastercard yangu juzi so sina uzoefu wa kuitumia
 
Mimi nime order mwezi Jana ndo nasikilizia wanitumie
Lakin kuna mtu mmoja alisema kuwa kwa tz huu mfumo wa payooner haukubaliki hapo kuna ukweli?
Sio kweli, PayPal ndo ambayo haitambuliki, Payoneer unaweza kuitumia Worldwide coz huitaji kui activate kadi yako Bank, Ili mradi ATM utayotumia iwe Ina support Master Cards!
 
Na Payoneer, nika apply Na Jana nimepata Card yangu ya Payoneer toka America, ambapo itaniwezesha Kutoa pesa kwenye ATM yoyote inayo accept Master Card Worldwide bila hata kuwa Na Account ya Bank, naomba kujua Kama Kuna mtu hapa ashawahi tumia Payoneer? Ili anipe uzoefu wake!
Vp Mkuu umeshaanza kutumia hii kadi hususani kutolea pesa?! Kama ndiyo, gharama zake zipo vp ukilinganisha na wire transfer?! Nataka kupumzika wire transfter manake maumivu ni makubwa mno... zaidi ya Sh. 70,000 ya Tanzania! Kuna wakati nilijifanya kuikwepa wire transfer nikatumia Skrill kufanya transfer, nikajikuta nimetumia $2 zaidi ya wire transfer!! Nikagundua kumbe wakati wanajifanya international money transfer; wao wanatumia third part (bank) ambazo huchaji $30; na wao wenyewe (Skrill) wanachukua $2; zikifika Tz, bank nao wanachukua chao!
 
I see! Naona hii bidhaa haitumiki humu!! Na kama haitumiki na JF Community sijui itatumiwa na community gani nchi hii! Anyway, let me take risk... but calculated one!
 
Sio kweli, PayPal ndo ambayo haitambuliki, Payoneer unaweza kuitumia Worldwide coz huitaji kui activate kadi yako Bank, Ili mradi ATM utayotumia iwe Ina support Master Cards!
Mkuu, Habari yako mkuu, tafadhari naomba unifahamishe ni namana gani ninaweza pokea card yangu ya payoneer maana sijawahi pokea mzigo kutoka nje ya nchi, nimeona kwamba wewe ulisha pokea card hiyo, so please naomab unisaidie mawazo mkuu,
0658129251
IDD ALLY
 
M

Mkuu tembelea official website yao, jisajiri then uta apply Card yako, utaweka details zako ikiwemo Box number, so Wao watakutumia kupitia Posta, ndani ya mwezi mmoja Card yako inakua tayari!
 
Vp Mkuu umeshaanza kutumia hii kadi hususani kutolea pesa?! Kama ndiyo, gharama zake zipo vp ukilinganisha na wire transfer?! Nataka kupumzika wire transfter manake maumivu ni makubwa mno... zaidi ya Sh. 70,000 ya Tanzania! Kuna wakati nilijifanya kuikwepa wire transfer nikatumia Skrill kufanya transfer, nikajikuta nimetumia $2 zaidi ya wire transfer!! Nikagundua kumbe wakati wanajifanya international money transfer; wao wanatumia third part (bank) ambazo huchaji $30; na wao wenyewe (Skrill) wanachukua $2; zikifika Tz, bank nao wanachukua chao!
Mkuu nategemea kuitumia hii huduma next week katikati, ntaleta mrejesho hapa!
 
I see! Naona hii bidhaa haitumiki humu!! Na kama haitumiki na JF Community sijui itatumiwa na community gani nchi hii! Anyway, let me take risk... but calculated one!
worry out mkuu, next week ntaleta mrejesho hapa!
 
Back
Top Bottom