Kuna mtu yeyote ameshatumia Payoneer Master Card?

worry out mkuu, next week ntaleta mrejesho hapa!
Poa poa... kwa sasa ningekuwa nimeshapata jibu sema ndo hivyo tena, linapokuja suala la customer care, Payoneer ni tatizo! Siku nilipotaka kutumia kuna tatizo likajitokeza basi walichukua wiki mbili kutatua! Sikuwa na namna, nikalazimika kutumia wire transfer as usual.
 
Sure, nimekutana Na malalamiko mengi ya wadau fb page Yao..
 
Kwa nini msitumie BankABC wa hapahapa bongo.? Mbona wana hizo huduma zote mnazozisema.?
 
Sure, nimekutana Na malalamiko mengi ya wadau fb page Yao..
Jamaa efficiency yao ya customer care ni below 20% ndo vile hatuna best alternative. PayPal hapa ndo suluhisho lakini restriction yao ya ku-receive fund sijui watatuondelea lini!
 
Kwa nini msitumie BankABC wa hapahapa bongo.? Mbona wana hizo huduma zote mnazozisema.?
Kwa nini msitumie BankABC wa hapahapa bongo.? Mbona wana hizo huduma zote mnazozisema.?
Nadhani mtakuwa mnazungumzia urahisi wa kupata Visa Card na basic use ya hiyo card kama vile ku-facilitate online transactions.

Hapa tunazungumzia card ambayo sio tu itakuwezesha kufanya malipo bali ambayo pia unaweza kuitumia kupokea malipo/pesa kutoka nje.
 

Mimi nishawahi kupokelea malipo na hii kadi, Na si mara moja. Kuna malipo huwa natumiwagwa kwa hii kadi, Na huwa yanatumia 48 Hours ya siku za kazi mpaka kuwa reflected katika account yangu toka nitumiwe, Hili nina ushahidi nalo 100% . Ingawaje Wahudumu na wafanyakazi wengi wa hii bank hawajui kama kitu hiki kinawezekana. Kwani ukiwauliza kuhusu hili swala jibu lao wanakwambia ni either sifahamu ama wanakujibu kuwa haina uwezo. Mimi nilijua hili jambo katika try and error, Nikajikuta imekubali. Since then mpaka sasa nimekuwa nikiitumia. Na pia ndo kadi ninayoitumia kufanyia malipo online.
 
Wakuu toeni maelezo ya kutosha, mfano ghrama za akaunti au ni kwa wateja wao wote?

Kwa BankABC Kadi inauzwa 15,000 kama unataka ya Tsh, Na USD 20 kama unataka ya USD, Baada ya hapo hakuna malipo mengine ya ziada wala transfer fees. Unaenda na kitambulisho valid, Ndani ya nusu saa unakuwa na kadi yako mkononi na unaweza kufanya transactions from there onwards. Kwa Dar Es Salaam wana matawi mawili niyafahamuyo, Kariakoo-Fire na Uhuru height Posta.
 
Asante mkuu, umesaidia kitengo chao cha Marketing nitakwenda kuwaona.
 
Wana tawi pia Quality plaza
 
M
Mkuu tembelea official website yao, jisajiri then uta apply Card yako, utaweka details zako ikiwemo Box number, so Wao watakutumia kupitia Posta, ndani ya mwezi mmoja Card yako inakua tayari!
Gharama ya kujisajiri hadi kutumiwa kadi utalipaje? sio kwamba kuna bank inafanya nao kazi hiyo bongo?
 
Mimi nishawahi kupokelea malipo na hii kadi. Na pia ndo kadi ninayoitumia kufanyia malipo online.

Mfano nikitaka kulipa ama kununua kitu, Najazaje pesa katika hii kadi.?
 
Mfano nikitaka kulipa ama kununua kitu, Naje pesa katika hii kadi.?
Mkuu comment yako hapo juu umesema "Mimi nishawahi kupokelea malipo na hii kadi. Na pia ndo kadi ninayoitumia kufanyia malipo online"

Na sasa unauliza tena! Nini hasa unataka kufahamu?
 
Mkuu comment yako hapo juu umesema "Mimi nishawahi kupokelea malipo na hii kadi. Na pia ndo kadi ninayoitumia kufanyia malipo online"

Na sasa unauliza tena! Nini hasa unataka kufahamu?

Mimi sijasema kama nimewahi kupokea kupitia payoneer, Ambayo nimewahi kupokea nayo ni ya BankABC na nimetoa maelezo hapo juu. Nilichouliza hapo ni kuhusu kupokea malipo kupitia payoneer. Unaijazaje pesa hiyo kadi.?
 
Mimi sijasema kama nimewahi kupokea kupitia payoneer, Ambayo nimewahi kupokea nayo ni ya BankABC na nimetoa maelezo hapo juu. Nilichouliza hapo ni kuhusu kupokea malipo kupitia payoneer. Unaijazaje pesa hiyo kadi.?
Payoneer Card ni tofauti na hizo za Bank ambazo wadau wamechangia hapo juu, ni kwamba mtu anaweza kukuingizia pesa kwenye account yako ya Payoneer then unaweza kui withdraw kupitia ATM zinazo accept Master card worldwide.

Kama Account yako ya Payoneer Iko na pesa, unaweza kununua bidhaa au kulipia huduma kwenye websites mbalimbali Kama Amazon, Alibaba, Upwork n.k!

Ukifatilia mjadala toka mwanzo, utaelewa kwa haraka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…