Habari wakuu! Mimi Ni mmoja Kati ya watu wanaouza kazi zangu Ulaya, Australia Na America online, naumizwa Sana Na kutotambulika kwa PayPal hapa Tanzania, inapelekea Mara nyingi kutumia Western Union ambayo Ina makato makubwa kupelekea Clients kulalamika, sasa pita yangu mitandaoni nikakutana Na Payoneer, nika apply Na Jana nimepata Card yangu ya Payoneer toka America, ambapo itaniwezesha Kutoa pesa kwenye ATM yoyote inayo accept Master Card Worldwide bila hata kuwa Na Account ya Bank, naomba kujua Kama Kuna mtu hapa ashawahi tumia Payoneer? Ili anipe uzoefu wake!