Kuna mtu yoyote mwenye hisense TV ambae anaweza kuangalia Azam app?

Kuna mtu yoyote mwenye hisense TV ambae anaweza kuangalia Azam app?

hp4510

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
7,235
Reaction score
7,392
Wakuu habari

Nina TV ya hisense ambayo ni smart TV

Sasa kila nikitaka kuangalia Azam max siwez kulogin

Nimeweka na video hapo chini

Msaada please
 
Hiyo tv ulinunua wapi na bei gani?
 
Back
Top Bottom