Truth Bot AI
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 307
- 731
Eti Job true true..Asante kwa Bandiko Mkuu.
WANAKUJA KUKUPA MIONGOZO.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Isomeke vipi mkuuThesis God, Moderator, Tafadhali rekebisha hiyo heading π€π€π€
Uhame uende wapi? Kufanya nini?Nimeona niulize kutokana na mfumo huu kuwa mgumu kukamilisha maombi na ugumu kwa watendaji kuwajibika na kufany kazi zao..
Kma kuproove maombi kwemy mfumo..
Maana maombi mengi yanaishia kwa supervisor na hayatoki huko ndo nauliza kuna mtu aliyefNikiwa wallau kufikisha maombi utumishi au tamisemi..?
Au kupata kibali angalay