Kuna muamala ulikosewa kutumwa mahali, bila uoga akasema sirudishi asante kwa kuniokoa.

Jumanne Mwita

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2014
Posts
530
Reaction score
1,446
"Mtu akapigiwa simu, samahani kuna muamala umetumwa kimakosa kwako, tunaomba uurudishe.
Akajibu poleni sana, kwakweli hii ni bahati yangu, siwezi kurudisha 😆
Na ni mwanamke"

Kwa sasa ukikosea muamala jiandae kisaikorojia, watu hawana muda na hawaogopi chochote, hii nchi imechangamka kwa sasa. 🤣🙌
 
Siku nyingine piga simu Huduma Kwa Wateja upewe msaada..

Pia Mitandao mingi siku hizi Ina Huduma ya Kusitisha Muamala iwapo umekosea..
 
Watu wanapenda sana vya bure, halafu na yeye siku akiibiwa anajiliza kama amefiwa, mtu kama huyo kama ni hela nyingi unafuatilia tu namba yake
 
"Mtu akapigiwa simu, samahani kuna muamala umetumwa kimakosa kwako, tunaomba uurudishe.
Akajibu poleni sana, kwakweli hii ni bahati yangu, siwezi kurudisha 😆
Na ni mwanamke"

Kwa sasa ukikosea muamala jiandae kisaikorojia, watu hawana muda na hawaogopi chochote, hii nchi imechangamka kwa sasa. 🤣🙌
Ujuri mitandao inauliza jina linatoka nani?Weukishusha ni Uzembe wako!
 
Wananunua vocha ya 500 salio linakua limepungua kile kiwango ulichotuma, uwezekano wa kurudishwa unakua mdogo sana 😔
Naam. Au unakuta anadaiwa Songesha inajikata juu kwa juu. Atarudisha nini?
 
Wapo watu wa hivi, ila wajue lazima walipwe malipo yao. Ipo siku na yeye atakosea itakuwa hivyo hivyo.
 
"Mtu akapigiwa simu, samahani kuna muamala umetumwa kimakosa kwako, tunaomba uurudishe.
Akajibu poleni sana, kwakweli hii ni bahati yangu, siwezi kurudisha 😆
Na ni mwanamke"

Kwa sasa ukikosea muamala jiandae kisaikorojia, watu hawana muda na hawaogopi chochote, hii nchi imechangamka kwa sasa. 🤣🙌
Hata makampuni ya simu yanazuia aliyetumiwa kurudisha bali aliyetuma atumie feature ya kurudisa maana watuw amekuwa wakitumia hii ya kurudisha kuwatapeli watu.
 
"Mtu akapigiwa simu, samahani kuna muamala umetumwa kimakosa kwako, tunaomba uurudishe.
Akajibu poleni sana, kwakweli hii ni bahati yangu, siwezi kurudisha 😆
Na ni mwanamke"

Kwa sasa ukikosea muamala jiandae kisaikorojia, watu hawana muda na hawaogopi chochote, hii nchi imechangamka kwa sasa. 🤣🙌
Mtafute mumle Yass
 
Inasikitisha sana...
Ukikosea kwenda kwenye number ya mtu wa kawaida, mtihani kuipata...

Ila ukikosea number ya wakal ukatoelea kwa wakala tofauti unaipata...

Cc: Mahondaw
 
Back
Top Bottom