Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna watu wamekaa na lakini zao za simu ka vile wamejitegesha tayari kwa ajili ya matukio kama hayo,kuna kosa kama hilo lilifanyika mahali fulani yaani mtu katuma hela kimakosa,yaani ndani ya dakika mbili hela ilikuwa imeishatolewa na mtu aliyeitoa tayari alikuwa ameishavunja somcard yake,unakuta ni mtu ambaye namba yake ya simu Wala haitegemeu sana yaani anayo kwa ajili ya kupiga matukio.Watu wanapenda sana vya bure, halafu na yeye siku akiibiwa anajiliza kama amefiwa, mtu kama huyo kama ni hela nyingi unafuatilia tu namba yake