Kuna watu wamekaa na lakini zao za simu ka vile wamejitegesha tayari kwa ajili ya matukio kama hayo,kuna kosa kama hilo lilifanyika mahali fulani yaani mtu katuma hela kimakosa,yaani ndani ya dakika mbili hela ilikuwa imeishatolewa na mtu aliyeitoa tayari alikuwa ameishavunja somcard yake,unakuta ni mtu ambaye namba yake ya simu Wala haitegemeu sana yaani anayo kwa ajili ya kupiga matukio.