Kama sufuria iliopika kitimoto ikaoshwa na ikaendelea na matumizi miezi kadhaa nyuma wanaikataa. Nashangaa kuh hili la damuKwani ukigida nguruwe na tungi ina athiri vipi components zilizopo kwenye damu? Unajua kuwa hii sio hoja na mtume wetu alishamaliza kila kitu?
Rahmatul lil alamin#
Imani ya kidini inapaswa kuwa jambo la kibinafsi sanaWakuu
Nimekutana na mambo mengi ya watu kujivunia dini yao. Nikakutana na swali la kuuliza jukwaa.
Mkristo anaekula kitimoto/nguruwe anaruhusiwa kumchangia Muislam Damu?
Wakati wa zoezi la kuchangia damu wanazingatia hili?
Note: Damu inayochangwa na watu bila kujali dini zinasave maisha ya wengi(waislam na wakristo). Tuache hizi kelele za proud to be......Hazijengi
HakikaInabid tuamke
Ndugu yangu tafuta elimu kwanza then utajua uislamu...Hakuna sehemu Nguruwe anachukiwa ni haramu ...Tambua jambo haramu, dhambi na makruu , tafuta hayo maneno.Ni upuuzi tu! Hasa Muslim sijui huwa wanajikuta kina nani?!
Mgonjwa wa kisukari anachomwa insulin ambayo totally imetengenezwa na kitimoto.. asa Kwa uhatari wa ugonjwa wa kisukari sidhani kama Kuna sheikh angepona au kupata hata nafuu.
Kisukari hakichagui hakibagui.
Am out
Imani ni jambo binafsi ila nyie ndugu zetu mnapenda kuwasemea waislamu kama mnaju kila kitu ...Mkiambiwa mfano useme ni wapi muislamu alikatazwa kuchangiwa damu na mla nguruwe ,mlevi ,mzinzi ,mwizi ,hizo zote ni dhambi ziko sawa ila nyie mnalazimisha Nguruwe tu ..Imani ya kidini inapaswa kuwa jambo la kibinafsi sana