Kuna muda hoja ya kujivunia kua muislam au mkristo haina mantiki yoyote

Kwani ukigida nguruwe na tungi ina athiri vipi components zilizopo kwenye damu? Unajua kuwa hii sio hoja na mtume wetu alishamaliza kila kitu?

Rahmatul lil alamin#
Unajua kuwa nyama ya nguruwe inaongeza damu mwilinnini kwa wingii??
 
Namshukuru Allah kwa Neema ya Uislam na Sunnah. Najivunia Neema hii kubwa mno aliyonipa Allah, na sitoificha ili wewe au mfano wako mjisikie vizuri.

Namuomba Allah akuongoze katika Uislam.

Namuomba Allah anifishe katika Uislam na Sunnah, Aamiin.
Ujinga ni mzigo ndiyo maana wajinga wafia dini hawaishi Afrika,swali liko wazi kabisa na nu kitu cha kushangaza muislam kuongezewa damu na mla nguruwe na ikakkubarika.
 
Unajua kuwa nyama ya nguruwe inaongeza damu mwilinnini kwa wingii??
Imeharamishwa nyama na mzogo wa Nguruwe basi ,unaweza hata kufuga ila sio kwa kula ...Hii ni elimu ni bora ukae chini uulize kwa nn nguruwe hatakiwi kuliwa ?

Hizo hoja zenu hazipo kwa watu waliosoma dini wanajua zaidi, hata Ndoa ya Mkristo na Muislamu ipo ...Unatakiwa usome na kujua ni kwa nn kwanza.
 
Ujinga ni mzigo ndiyo maana wajinga wafia dini hawaishi Afrika,swali liko wazi kabisa na nu kitu cha kushangaza muislam kuongezewa damu na mla nguruwe na ikakkubarika.

Najivunia Uislam. Mimi ni Muislam. Namshukuru Allah kwa Neema ya Uislam na Sunnah na ninamuomba Allah anifishe katika Uislam na Sunnah.

Na Uislam haupo Afrika tu, sisi tupo Dunia nzima na kote tunajivunia Uislam wetu, Alhamdulillah kwa Neema ya Uislam.
 
Nilisikia pia kuwa muislam hawezi au si ruksa kutumia chombo ambacho kilitumika na mtu mwingine kula kitimoto, je ni kweli ?
 
Kila mtu na imani yake kwanza siku hizi watu kwenye familia tunaoleana upande kwa upande suala la dini kwa sasa ni imani binafsi, wazazi wanataka mahari tu ili mladi wenyewe mmeelewana na maisha yanaendelea
 
Acha watu wanywe bia na kula kitmoto wakitaka🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…