GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mbona hii hoja yako kwa mwanaume ni marashi kabisa jamaniKila ukikutana nao utawasikia wakiisema hii Kauli yao wanayoipenda kuwa Wanaume wote ni Waongo ( Matapeli ) na kwamba Baba yao ni Mmoja.
Kinachonishangaza sasa pamoja na Kuisema Kauli hiyo lakini Wakiendelea tena 'Kutongozwa' na Wanaume hao hao Matapeli ( Waongo ) bado tena huwa wanawakubalia na 'Kumegwa' nao Kisela.
Je, tatizo Kubwa la Dada zetu ni nini?
Utaweza kuvumilia linyama lisilo na mfupa lakini?..... Mambo ya fokwa fokwa fokwa.....hahahaha bora sikuzaliwa mwanamke
Wanaume tuna mwengi ya kuwaza hili suala la kuambiwa waongo mara matapeli mara mbwa wala lisikutoe kwenye ReliKila ukikutana nao utawasikia wakiisema hii Kauli yao wanayoipenda kuwa Wanaume wote ni Waongo ( Matapeli ) na kwamba Baba yao ni Mmoja.
Kinachonishangaza sasa pamoja na Kuisema Kauli hiyo lakini Wakiendelea tena 'Kutongozwa' na Wanaume hao hao Matapeli ( Waongo ) bado tena huwa wanawakubalia na 'Kumegwa' nao Kisela.
Je, tatizo Kubwa la Dada zetu ni nini?
Sasa nyege zao watazipeleka wapi mkuu????Kila ukikutana nao utawasikia wakiisema hii Kauli yao wanayoipenda kuwa Wanaume wote ni Waongo ( Matapeli ) na kwamba Baba yao ni Mmoja.