The Eric
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 6,446
- 10,976
Daaah! Hivi ushawahi fika mahali ukawa na huzuni na masononeko muda wote kwa ajili ya ugumu wa maisha...
Mimi hii kitu inanikuta yaani ile hali ambayo maisha unayoishi unajua kabisa ni mabovu na ukiendelea kuishi hivo huku muda unaenda unakuwa maskini na muda umeshakutupa mkono.
Nafikiria nifanye nini nipate utajiri wakuu siyo ela ya kula na kuvaa yaani utajiri maana furaha yangu inaweza tulia maana sina dhamana yeyote ya kaanzia kama mtaji pesa.
Saa nyingine nikipata mawazo mazuri toka kwenu kuwa nipate vipi utajiri unaoleweka itapendeza sana,
Wakuu natafuta amani ya moyo na furaha ya maisha nishaurini nianzie wapi.
Kama yupo anayeweza nipa deal la kazi kama biashara, kusafiri mbali n.k naomba msaada tafadhali maana nimejaribu vitu kadhaa nimekwama sana.
Uwezo wa kujitafutia kula na kuvaa ninao wakuu ila tu umiliki wa vitu na maisha mazuri ndiyo amna.
Nipo tayari kwa deal lolote wakuu mi nitafanya mi Ni kijana.
Umaskini haupendezi hata uuvalishe nguo nzuri.