Kuna muda maisha yanakaba wakuu duuh

Kuna muda maisha yanakaba wakuu duuh

Hahaha Game Tight Kinoma noma...

Hata u make vijehela vya namna gani bado hela hazitoshi...🤣🤣🤣 Ukitaka kuamini nachosema fungua bizness yeyote...yani utashangaa set up costs za hyo biashara haziishi

Hapo bado equipments na vitu vingine havijaanza kuharibika ukapambana na fundi then uanze tena kupambana kurudisha capital...acheni tu.

Hizi hela hizi zina siri nzito sanaa.
Kweli Kua Uyaone Daah.
 
Mie nadhan na sera za Nchi yetu zinachangia kutufanya tuzid kuwa masikini...Ila ni kutokakata tamaa...!
IMG_20190610_200822_290.JPG
Dada nilivyoona hii kitu nika kuwazia wewe ujue.
 
Weka akiba ufanye kilimo mkuu

Biashara inaleta hela ya Kula tu, mfano unauza mabegi kuna mabegi yatakaa dukani zaidi ya mwaka

Ila kilimo unafunga mahesabu msimu wa mavuno

Kwa mfano milioni tano inakuwezesha kulima ekari kumi za ufuta ambao utavuna gunia 60 ukija kuuza mauzo milioni kumi na nane, then unaamua kuitumia milioni 8 huku milioni kumi unairudisha kulima ufuta ekari 20 ambayo ni mara mbili ya eneo ulilolima mwaka jana
 
Back
Top Bottom