Kuna muda ni bora kuweka Airplane mode kuepuka mizinga

Mkuu, Kiongozi, Tajiri, wa kwetu, Home boy, nk.. lugha za mizinga hizo.
 
Kuna muda ukipata hela wenzako unaofanyanao kazi kama wanajua umepata hela ni bora kuweka Airplane mode kuepuka Mizinga 😃 , simu zitaingia Kama zote , utasikia Mkuu mbona kimya unaniachaje
Unamkomoa au unajikomoa,kwani ukimjibu huna anakupeleka polisi au inakuaje??.ila kumbuka pia na wewe ukiwa na shida akikuwekea kindege pia usije kuleta uzi apa😂
 
Unamkomoa au unajikomoa,kwani ukimjibu huna anakupeleka polisi au inakuaje??.ila kumbuka pia na wewe ukiwa na shida akikuwekea kindege pia usije kuleta uzi apa😂
Tatizo anakuwa mtu wa karibu mnaheshimiana / marafiki halafu anafahamu Mzigo umesoma kwako hapo kuchomoa ni ngumu kidogo
 
Nitajie hizo code mkuu
 
Usijipe umuhimu kwenye mambo yasio na maana mkuu, utajikuta unateseka bure
 
Kuna muda ukipata hela wenzako unaofanyanao kazi kama wanajua umepata hela ni bora kuweka Airplane mode kuepuka Mizinga [emoji2], simu zitaingia Kama zote, utasikia Mkuu mbona kimya unaniachaje!
Airplane mode ya nini mkuu, toka nao draw, kila atakaye kupigia akikusalimia tuu, anza kwa kumpiga mzinga!![emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…