Kuna muda unakata tamaa mpaka mwisho ila baadae unakuja kupata njia

Kunywa pepsi ppte mzee au kama umefunga njoo nikupe japo ya futari [emoji120][emoji123]
 
Usimsahau mjomba
Huwezi amini kipindi mama anafariki aliniambia " mkumbuke mjomba wako", baada ya miaka tisa nikawa naenda kumuaga bibi yangu(mama yake na mjomba) ili niende shule form five na yeye akarudia maneno yaleyale na ukawa mwisho wa kuonana mimi na yeye alifariki mwaka huohuo nikiwa shule. Huwa najiuliza sana kwanini watu wawili waniambie maneno ya mwisho ya aina moja.
 
Aliaminika sana kwao
 
Muda uliotumia kulima jkt na kujenga ukuta sasahivi ungelikuwa mbali sana kama ungelima shambani kwako.
 
Ulipata kazi tiss nn
 
Mara nyingi unapokua kwenye mchakato unakua kwenye stage ya kuchujwa , uvumilivu ni kipengele muhimu bwa mdogo, kiweke akilini hiki, Mungu akutangulie...
 
Mara nyingi unapokua kwenye mchakato unakua kwenye stage ya kuchujwa , uvumilivu ni kipengele muhimu bwa mdogo, kiweke akilini hiki, Mungu akutangulie...
Nashukuru sana mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…