Kuna muda unatamani uende mbali, Ukabadilishe jina na namba ya simu Ukaanze maisha upya huko

Sawa nimekuelewa boss
 
Sio kibongobongo labda, kwetu hapa pesa 99% ni suluhisho la matatizo yetu.
 
Pesa sio kila kitu Ila ukiwa hauna pesa tegemea mambo kwenda ndivyo sivyo na mawazo mabaya kukuijia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…