rubii
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 14,113
- 18,745
Tupo wanawake wengi piaUmeongea ukweli mtupu na wahanga wengi ni wanaume

Wanawake ndo wanafaidi haya maisha.Hakuna mwanamke asiye na mwanaume ila wapo wanaume wasio na wanawake.Tupo wanawake wengi pia
Wanawake ndo wanafaidi haya maisha.Hakuna mwanamke asiye na mwanaume ila wapo wanaume wasio na wanawake.
Najiandaa kuanza maisha mapya mbali na mtu anayenijua nifungue ukurasa mpya wa maishaAisee
Najiandaa kuanza maisha mapya mbali na mtu anayenijua nifungue ukurasa mpya wa maisha
Baada ya siku tatu unakufa, unafukiwa, unaoza. End of the story.Yaani kwa kifupi ubadilishe identity yako kukuhusu na uanze upya maisha yako peacefully ila ni jambo lisilowezekana.View attachment 3323504
Kaburini.Najiandaa kuanza maisha mapya mbali na mtu anayenijua nifungue ukurasa mpya wa maisha
Sawa nimekuelewa bossWatu wanastruggle na trauma hambazo hazihusiani na pesa mzee. Why mnahisi pesa ndio kila kitu?
Wengine hawakupendwa na hawakuwa na mahusiano mazuri na wazazi wao utotoni, wengine wazazi walikuwa wanawakwepa utotoni wapo busy kutafuta hela mtoto anaishi hamuoni mzazi ila anajua yupo?
Huyu mtu akiwa mtu mzima anapata shida kujenga mji wake, kutengeneza mahusiano na watu wengine anakuwa mpweke.
Akiwa na hela atazifanyia nini zaidi ya kuzigawa na kusaidia wengine ambao hawezi kuwa na mahusiano nao nje ya hela?
Michael Jackson alikuwa billionaire na hadi sasa amefariki bado anaingiza mamilioni kushinda wasanii walio hai wa sasa miaka kumi na baada ya kifo chake.
Lakini alikufa akiwa depressed na muda wote hakuwa na furaha na alishindwa kujenga mahusiano ya kawaida kabisa sababu utoto wake hakupitia makuzi ya kawaida na alikuwa exposed kwenye umaarufu mapema sana.
Justin Bieber huyo hapo ona alivyovurugwa. Utajiri wake last time ulikuwa ni Dola milioni 400+ lakini unaona kila saa analia lia kwenye media hana furaha.
Pesa sio jibu la kila kitu. Huwa nawatazama sana ninyi mnaowajibu watu kuwa watafute pesa kutibu maumivu ya mapenzi, maumivu ya kutengwa na wazazi, maumivu ya kusalitiwa kimahusiano, maumivu ya kusumbuliwa na ndugu. Watu wanastruggle wanataka kushikwa mkono wavutwe kutoka huko na sio kutafuta hela.
Uweke huo wa mwanzo nikausome piaMnarudia nyuzi sana shida nn
Unatafuta faraja jf😅😅Uweke huo wa mwanzo nikausome pia
Aseeh mjumbe habari yako mkuu 😂 siku lzm iisheKweli kabisa " mwisho wa siku, siku lazima iishe" 😁😁😁
😅😅😅 salama, mjumbeAseeh mjumbe habari yako mkuu 😂 siku lzm iishe
Sio kibongobongo labda, kwetu hapa pesa 99% ni suluhisho la matatizo yetu.Watu wanastruggle na trauma hambazo hazihusiani na pesa mzee. Why mnahisi pesa ndio kila kitu?
Wengine hawakupendwa na hawakuwa na mahusiano mazuri na wazazi wao utotoni, wengine wazazi walikuwa wanawakwepa utotoni wapo busy kutafuta hela mtoto anaishi hamuoni mzazi ila anajua yupo?
Huyu mtu akiwa mtu mzima anapata shida kujenga mji wake, kutengeneza mahusiano na watu wengine anakuwa mpweke.
Akiwa na hela atazifanyia nini zaidi ya kuzigawa na kusaidia wengine ambao hawezi kuwa na mahusiano nao nje ya hela?
Michael Jackson alikuwa billionaire na hadi sasa amefariki bado anaingiza mamilioni kushinda wasanii walio hai wa sasa miaka kumi na baada ya kifo chake.
Lakini alikufa akiwa depressed na muda wote hakuwa na furaha na alishindwa kujenga mahusiano ya kawaida kabisa sababu utoto wake hakupitia makuzi ya kawaida na alikuwa exposed kwenye umaarufu mapema sana.
Justin Bieber huyo hapo ona alivyovurugwa. Utajiri wake last time ulikuwa ni Dola milioni 400+ lakini unaona kila saa analia lia kwenye media hana furaha.
Pesa sio jibu la kila kitu. Huwa nawatazama sana ninyi mnaowajibu watu kuwa watafute pesa kutibu maumivu ya mapenzi, maumivu ya kutengwa na wazazi, maumivu ya kusalitiwa kimahusiano, maumivu ya kusumbuliwa na ndugu. Watu wanastruggle wanataka kushikwa mkono wavutwe kutoka huko na sio kutafuta hela.
Nafurah kukuona jukwaani 🍺👊😅😅😅 salama, mjumbe
WEeee??!!Wanawake ndo wanafaidi haya maisha.Hakuna mwanamke asiye na mwanaume ila wapo wanaume wasio na wanawake.
Kimya kina majibu mengiYaani kwa kifupi ubadilishe identity yako kukuhusu na uanze upya maisha yako peacefully ila ni jambo lisilowezekana.View attachment 3323504