Kuna Muislamu anaendelea kuwafata Bakwata kwa chochote?

Hii clip ni fikirishi sana, Mufti alipewa amri kutoka Juu atangagaze muandamo wa mwezi ambao haupo.
BAKWATA ni sehemu ya kupiga pesa tu na kudhoofisha uislamu.

Watu wanakaa wanataka waheshimiwa wanashindwa hata kufanya mambo yanayoeleweka katika jamii ya kiislamu.

Taasisi maendeleo yake makubwa ni kufanya MAULIDI Kila mwaka na kubuni keki kubwa

Sasa hayo ndiyo wanayoyahitaji waislamu?
 
Kwani wewe ukifunga kwa kufuata saudi arabia utakuwa umepungukiwa nini? Punguza jazaba bakwata hata kama ina mapungufu yake hayatatuliwi kwa kutukana watu wala kwa jazba

dah kwaiyo mkuu hilo suala unalichukulia poa? wao wanatutangazia mwezi tayari tule wakati wao wenyewe hawali
 
duuh
BAKWATA ni sehemu ya kupiga pesa tu na kudhoofisha uislamu.

Watu wanakaa wanataka waheshimiwa wanashindwa hata kufanya mambo yanayoeleweka katika jamii ya kiislamu.

Taasisi maendeleo yake makubwa ni kufanya MAULIDI Kila mwaka na kubuni keki kubwa

Sasa hayo ndiyo wanayoyahitaji waislamu?
 
Kwahiyo sisi tunaofuata mwandamo wa mwezi katika nchi ni wendawazimu? Au sijakuelewa ulichomaanisha!
 
ukiwa unaishi kwa kutegemea BAKWATA ndio ukuambie leo ndio ramadhan inaanza kesho ndio Eid inaanza hakika ni mwendawazimu
 
Back
Top Bottom