Kuna mume wa mtu,nataka nimzalie lakini nahisi mbegu zake zina shida ni kama maji nifanye nini?

Njoo mie nikuzalishe
 
Safi kabisa. Mambo makuu niliyoyapata hapa ni
1) mwanamka kama hataki mimba mwanawane utatwanga maji kwenye kinu
2) warembo wengi wanaolewa kutoa nuksi ya kutookewa basi
 
Mmmmm inatishaasana......naogopa mimi huku
 

Chai
 
Wewe ndiye una matatizo! Ovaries zao zimeoza!
 
Punguzeni chai jamani. Na kama mnataka kuleta chai basi angalau someni mnachokisema kwanza. Sasa kama jamaa unadai mbegu zake ni nyepesi (hata sijui ulizipimaje lakini haya twende na hadithi yako) aliwezaje kumzalisha mkewe na unasema watoto ni carbon copy yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…