Auto-Marvelt
JF-Expert Member
- Jul 13, 2019
- 1,653
- 3,336
Mzalie tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba nioe mtu halafu nisiwe na hisia nae? Halafu nianze kutamani kuzaa na mke wa mtu , labda niyafanye haya kwenye movie kama kuigiza tu.Ombea yasikukute haya ya hisia za mapenzi unaweza fanya zaidi ya haya ya huyo Dada huko alipo andika na mleta Mada kutuletea pia humu
Njoo mie nikuzalisheKaka naomba unisaidie nifanye nini, ni binti wa miaka 30, nimeolewa ndoa yangu ina mwaka sasa. Kuna mwanaume mwingine niko naye, ni mume wa mtu ila ndiyo mwanaume wangu na nampenda sana hakuna namna naweza kumuacha, nilikua naye kabla ya ndoa na niliolewa tu kwakua nyumbani walikua wananipigia sana kelele za ndoa.
Nataka kumzalia huyu mume wa mtu lakini nahisi kama ana matatizo kwani mbegu zake ni nyepesi sana. Kwa mwaka mzima nimejaribu kubeba mimba yake nikiamini nikibeba naweza kumsingizia mume wangu lakini awe ameniachia damu yangu lakini imeshindikana.
Yeye katika ndoa yake ana watoto na hakuna haja ya DNA kwani ni kopi yake, sasa nawaza kwanini kwangu inakua ngumu sana kubeba mimba, kwanini mbegu zake zimekua kama maji, nimegoogle sana nahisi ana tatizo ila sijui namna ya kumsiadia, ana miaka 57 ila ukimuona ni kama ana miama 45, anajijali na anajua kupendeza.
Mume wangu anataka mtoto, anahisi labda nina matatizo ila siajakua kuzaa naye tu, ni mwanaume ambaye nilijisemea nitampenda taratibu ila imeshindikana, siwezi kumzalia mume wangu kwani tukija kuchana itanisumbua kumlea mtoto wake, ninachotaka kwakua kujua ni je, huyu mwanaume kuna dawa anaweza kutibika mbegu zake zikarudi kawaida!
Safi kabisa. Mambo makuu niliyoyapata hapa niKaka naomba unisaidie nifanye nini, ni binti wa miaka 30, nimeolewa ndoa yangu ina mwaka sasa. Kuna mwanaume mwingine niko naye, ni mume wa mtu ila ndiyo mwanaume wangu na nampenda sana hakuna namna naweza kumuacha, nilikua naye kabla ya ndoa na niliolewa tu kwakua nyumbani walikua wananipigia sana kelele za ndoa.
Nataka kumzalia huyu mume wa mtu lakini nahisi kama ana matatizo kwani mbegu zake ni nyepesi sana. Kwa mwaka mzima nimejaribu kubeba mimba yake nikiamini nikibeba naweza kumsingizia mume wangu lakini awe ameniachia damu yangu lakini imeshindikana.
Yeye katika ndoa yake ana watoto na hakuna haja ya DNA kwani ni kopi yake, sasa nawaza kwanini kwangu inakua ngumu sana kubeba mimba, kwanini mbegu zake zimekua kama maji, nimegoogle sana nahisi ana tatizo ila sijui namna ya kumsiadia, ana miaka 57 ila ukimuona ni kama ana miama 45, anajijali na anajua kupendeza.
Mume wangu anataka mtoto, anahisi labda nina matatizo ila siajakua kuzaa naye tu, ni mwanaume ambaye nilijisemea nitampenda taratibu ila imeshindikana, siwezi kumzalia mume wangu kwani tukija kuchana itanisumbua kumlea mtoto wake, ninachotaka kwakua kujua ni je, huyu mwanaume kuna dawa anaweza kutibika mbegu zake zikarudi kawaida!
Ketepa.Tatepa
Mmmmm inatishaasana......naogopa mimi hukuKaka naomba unisaidie nifanye nini, ni binti wa miaka 30, nimeolewa ndoa yangu ina mwaka sasa. Kuna mwanaume mwingine niko naye, ni mume wa mtu ila ndiyo mwanaume wangu na nampenda sana hakuna namna naweza kumuacha, nilikua naye kabla ya ndoa na niliolewa tu kwakua nyumbani walikua wananipigia sana kelele za ndoa.
Nataka kumzalia huyu mume wa mtu lakini nahisi kama ana matatizo kwani mbegu zake ni nyepesi sana. Kwa mwaka mzima nimejaribu kubeba mimba yake nikiamini nikibeba naweza kumsingizia mume wangu lakini awe ameniachia damu yangu lakini imeshindikana.
Yeye katika ndoa yake ana watoto na hakuna haja ya DNA kwani ni kopi yake, sasa nawaza kwanini kwangu inakua ngumu sana kubeba mimba, kwanini mbegu zake zimekua kama maji, nimegoogle sana nahisi ana tatizo ila sijui namna ya kumsiadia, ana miaka 57 ila ukimuona ni kama ana miama 45, anajijali na anajua kupendeza.
Mume wangu anataka mtoto, anahisi labda nina matatizo ila siajakua kuzaa naye tu, ni mwanaume ambaye nilijisemea nitampenda taratibu ila imeshindikana, siwezi kumzalia mume wangu kwani tukija kuchana itanisumbua kumlea mtoto wake, ninachotaka kwakua kujua ni je, huyu mwanaume kuna dawa anaweza kutibika mbegu zake zikarudi kawaida!
Kaka naomba unisaidie nifanye nini, ni binti wa miaka 30, nimeolewa ndoa yangu ina mwaka sasa. Kuna mwanaume mwingine niko naye, ni mume wa mtu ila ndiyo mwanaume wangu na nampenda sana hakuna namna naweza kumuacha, nilikua naye kabla ya ndoa na niliolewa tu kwakua nyumbani walikua wananipigia sana kelele za ndoa.
Nataka kumzalia huyu mume wa mtu lakini nahisi kama ana matatizo kwani mbegu zake ni nyepesi sana. Kwa mwaka mzima nimejaribu kubeba mimba yake nikiamini nikibeba naweza kumsingizia mume wangu lakini awe ameniachia damu yangu lakini imeshindikana.
Yeye katika ndoa yake ana watoto na hakuna haja ya DNA kwani ni kopi yake, sasa nawaza kwanini kwangu inakua ngumu sana kubeba mimba, kwanini mbegu zake zimekua kama maji, nimegoogle sana nahisi ana tatizo ila sijui namna ya kumsiadia, ana miaka 57 ila ukimuona ni kama ana miama 45, anajijali na anajua kupendeza.
Mume wangu anataka mtoto, anahisi labda nina matatizo ila siajakua kuzaa naye tu, ni mwanaume ambaye nilijisemea nitampenda taratibu ila imeshindikana, siwezi kumzalia mume wangu kwani tukija kuchana itanisumbua kumlea mtoto wake, ninachotaka kwakua kujua ni je, huyu mwanaume kuna dawa anaweza kutibika mbegu zake zikarudi kawaida!
Wewe ndiye una matatizo! Ovaries zao zimeoza!Kaka naomba unisaidie nifanye nini, ni binti wa miaka 30, nimeolewa ndoa yangu ina mwaka sasa. Kuna mwanaume mwingine niko naye, ni mume wa mtu ila ndiyo mwanaume wangu na nampenda sana hakuna namna naweza kumuacha, nilikua naye kabla ya ndoa na niliolewa tu kwakua nyumbani walikua wananipigia sana kelele za ndoa.
Nataka kumzalia huyu mume wa mtu lakini nahisi kama ana matatizo kwani mbegu zake ni nyepesi sana. Kwa mwaka mzima nimejaribu kubeba mimba yake nikiamini nikibeba naweza kumsingizia mume wangu lakini awe ameniachia damu yangu lakini imeshindikana.
Yeye katika ndoa yake ana watoto na hakuna haja ya DNA kwani ni kopi yake, sasa nawaza kwanini kwangu inakua ngumu sana kubeba mimba, kwanini mbegu zake zimekua kama maji, nimegoogle sana nahisi ana tatizo ila sijui namna ya kumsiadia, ana miaka 57 ila ukimuona ni kama ana miama 45, anajijali na anajua kupendeza.
Mume wangu anataka mtoto, anahisi labda nina matatizo ila siajakua kuzaa naye tu, ni mwanaume ambaye nilijisemea nitampenda taratibu ila imeshindikana, siwezi kumzalia mume wangu kwani tukija kuchana itanisumbua kumlea mtoto wake, ninachotaka kwakua kujua ni je, huyu mwanaume kuna dawa anaweza kutibika mbegu zake zikarudi kawaida!
CHeka tu mkuu siku za kuishi ziongezeke🤣🤣Mwanangu magical Nimecheka kisenge coment za wana
Punguzeni chai jamani. Na kama mnataka kuleta chai basi angalau someni mnachokisema kwanza. Sasa kama jamaa unadai mbegu zake ni nyepesi (hata sijui ulizipimaje lakini haya twende na hadithi yako) aliwezaje kumzalisha mkewe na unasema watoto ni carbon copy yake?Kaka naomba unisaidie nifanye nini, ni binti wa miaka 30, nimeolewa ndoa yangu ina mwaka sasa. Kuna mwanaume mwingine niko naye, ni mume wa mtu ila ndiyo mwanaume wangu na nampenda sana hakuna namna naweza kumuacha, nilikua naye kabla ya ndoa na niliolewa tu kwakua nyumbani walikua wananipigia sana kelele za ndoa.
Nataka kumzalia huyu mume wa mtu lakini nahisi kama ana matatizo kwani mbegu zake ni nyepesi sana. Kwa mwaka mzima nimejaribu kubeba mimba yake nikiamini nikibeba naweza kumsingizia mume wangu lakini awe ameniachia damu yangu lakini imeshindikana.
Yeye katika ndoa yake ana watoto na hakuna haja ya DNA kwani ni kopi yake, sasa nawaza kwanini kwangu inakua ngumu sana kubeba mimba, kwanini mbegu zake zimekua kama maji, nimegoogle sana nahisi ana tatizo ila sijui namna ya kumsiadia, ana miaka 57 ila ukimuona ni kama ana miama 45, anajijali na anajua kupendeza.
Mume wangu anataka mtoto, anahisi labda nina matatizo ila siajakua kuzaa naye tu, ni mwanaume ambaye nilijisemea nitampenda taratibu ila imeshindikana, siwezi kumzalia mume wangu kwani tukija kuchana itanisumbua kumlea mtoto wake, ninachotaka kwakua kujua ni je, huyu mwanaume kuna dawa anaweza kutibika mbegu zake zikarudi kawaida!
uko sahihiNi ngumu sana kumtenganisha mwanamke na shetani. Muache mtoto wa watu kama humpendi kuliko huo uhuni unaotaka kumfanyia ni dhambi na itakugarimu vizazi vyako saba.