Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 29,909
- 32,414
huo mkoa huu ni mpya hapa TZ.Huyu ni pandikizi tuu hakuna kingine mbona hata mashekh wa dizaini ya huyo padri wapi mfano shekh mkuu wa Mkoa huu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huo mkoa huu ni mpya hapa TZ.Huyu ni pandikizi tuu hakuna kingine mbona hata mashekh wa dizaini ya huyo padri wapi mfano shekh mkuu wa Mkoa huu
You dont know what you are talking about...google this:middle east muongo hana sauti Obama itakuwa papa papa hana sauti dunian kote ila n kwaabadhi ya nchi e.g saudia Iraq Yemen Qatar na zngne km Sudan papa atawambia nn pia papa hawez kuipangia Tz jinsi ya kuish nyerere alkkuwa amejarbu kulitia kanisa ndani ya chama na kuwapa pesaza walipa kodi lkn watu now wamesoma sio wajinga kupiga kelele mengi yamepungua ndomana znz wanasema na bara pia kirefu.cha CCM n Catholic Church Movement..... lkn me nakataa n nyerere tu kulingiza kanisa ila kumbukeni uhuru wa nchi hii haukupiganiwa na nyerere wala wakristo Bali waislam na nyerere aliitwa tu na baadae kuwauwa wengne na kuwaweka vizuizini lkn na yeye
kashaonja mauti ladha yake
kiongozi wa kanisa katoliki ndiye mkuu wa viongozi wa nchi zote duniani zilizopo ndani ya umoja wa mataifa..
japo humtumia sana mmarekani katika mambo yake. ingia goole tafuta zaidi maana hata tutaonekana kunachafua kanisa japo ndio ukweli.
huo mkoa huu ni mpya hapa TZ.
Be open-minded tu mkuu. Fanya utafiti wako unajua mengi zaidi. Japokuwa kama ni mkatoliki get prepared to be shocked!Ndugu yangu Time Bandit nakubaliana na wewe lakini hilo la namba moja ni propaganda ndani ya propaganda, si kweli kuwa uislam umeundwa na Catholic.
middle east muongo hana sauti Obama itakuwa papa papa hana sauti dunian kote ila n kwaabadhi ya nchi e.g saudia Iraq Yemen Qatar na zngne km Sudan papa atawambia nn pia papa hawez kuipangia Tz jinsi ya kuish nyerere alkkuwa amejarbu kulitia kanisa ndani ya chama na kuwapa pesaza walipa kodi lkn watu now wamesoma sio wajinga kupiga kelele mengi yamepungua ndomana znz wanasema na bara pia kirefu.cha CCM n Catholic Church Movement..... lkn me nakataa n nyerere tu kulingiza kanisa ila kumbukeni uhuru wa nchi hii haukupiganiwa na nyerere wala wakristo Bali waislam na nyerere aliitwa tu na baadae kuwauwa wengne na kuwaweka vizuizini lkn na yeye kashaonja mauti ladha yake
ww utakuwa msabato.
umejitahidi KUBWABWAJA
viongozi wapatapo madaraka wanaenda vatican kubusu pete ya papa we unafikiri ni nn SALUTE baba
wewe huo utafiti wapi!?Hoja si usabato fanya tafiti kwanza ujue je kuna cheo cha black pope, pia uje kuwa all intelligency agency ni JESUIT creation. Baadae funguka