Kuna mwamba huko TikTok amebomoa bei za vioo vya simu, wafanyabiashara wamemkasirikia, wateja wanamfurahia, kosa lake ni lipi?

Kuna mwamba huko TikTok amebomoa bei za vioo vya simu, wafanyabiashara wamemkasirikia, wateja wanamfurahia, kosa lake ni lipi?

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
Kuna mwamba huko Tiktok anatoa vioo vya simu kwa bei chee, Simu kama samsung A05 ni 16k tu ,

Ila kuna ukicheki comments wafanyabiashara wamekasirika, anawaharibia biashara,

sasa kosa lake lipi.


​
 
Namba xake jamaniiiii


Hamna pungufu ya bei xa condom pls
 
chimbooo
la condom za bei rahisi standard pls
 
Kwani Alibaba bei si zipo wazi jamani izo bei anazouza ni za mazoezi kwa ajili ya mafundi kwaiyo mtu wa reja reja na simu yako utapata kwa 25k na ufundi 35k
Kwa kiop cha A series bado nafuu.
IMG_8630.jpeg

Sasa hawa wa Note na S series ndio hawafai.
IMG_8629.jpeg
 
Kuna mwamba huko Tiktok anatoa vioo vya simu kwa bei chee, Simu kama samsung A05 ni 16k tu ,

Ila kuna ukicheki comments wafanyabiashara wamekasirika, anawaharibia biashara,

sasa kosa lake lipi.

View attachment 3589092
​
Huyu namjua vizuri sana mpka ofis yake ya mkoa Fulani najua ilipo na nishanunuaga sana kwake
Wateja kuna kitu hawajui, vioo hasa vya Samsung vina levels kuna highest quality na lowest quality
 
Huyu Jamaaa nampataje Tafadhali? Au page yake inaitwaje? Niende hata leo
 
Wanaita full display. Izo incell ni fake, low resolution, zina bezels kubwa. Sometimes janja janja tu zote kitu kimoja.
Full display nzuri sana, hizi simu zisizo full display naonaga mizinguo tu.
 
Full display nzuri sana, hizi simu zisizo full display naonaga mizinguo tu.
Yeah ukiwa na Samsung jitahidi sana uweke protector ya kuzuia mipasuko, achana na ya kuzuia scratch.

Kioo OG ni full display kilipasuka hawa wanakupiga fake wanakuambia full.
 
Yeah ukiwa na Samsung jitahidi sana uweke protector ya kuzuia mipasuko, achana na ya kuzuia scratch.

Kioo OG ni full display kilipasuka hawa wanakupiga fake wanakuambia full.
Na full bei yake imenyooka balaa.
 
Back
Top Bottom