GE2025 Kuna Mwana CCM alitaka kufungua shauri kupinga fomu moja ya uchaguzi wa kugombea rais CCM. Aliishia wapi?

GE2025 Kuna Mwana CCM alitaka kufungua shauri kupinga fomu moja ya uchaguzi wa kugombea rais CCM. Aliishia wapi?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Mwenye taarifa atujuze

Malisa atinga kortini kupinga Samia kuwa mgombea urais​


1751909451856.jpeg
 
Iliishia kwa mfungua kesi kukosa sifa za uanachana japo kadi anayo na ada analipia kila mwaka.
 
Mwenye taarifa atujuze

Malisa atinga kortini kupinga Samia kuwa mgombea urais​


View attachment 3397575
Nadhani aliingia mahakamani kupigania uanachama wake baada kuvuliwa kutokana na kupinga namna Samia alivyopitishwa kuwa mgombea pekee. Kwa hali ilivyo alikuwa anajaribu kwenye mifumo isiyo na meno dhidi ya rais.
 
Mengine ni kujitafutia matatizo tu. Raisi wa nchi ni nafasi moja tu
 
Kufanya kitu ambacho hakiwezekani ni upuuzi na ukikaa vibaya siasa ya bongo ukiwa mwanaharakati unaweza kupoteza mwelekeo katika maisha
 
Aliambiwa kifupi tu kwamba unataka kuishi ama? akaondoa kesi fasta.
 
Back
Top Bottom