Afadhali utangaze kung’atuka ubaki na heshima yako. Unaweza kupata msaada wa kuondolewa kwenye makali. Uking’ang’ania unaweza kuishia kama Gadafi.Picha fikirishi sana hiyo...Kama hapo mimi ni mwanasiasa ..sirudi nyuma..wala sizubai ..ni mbele kwa mbele mana najua mwisho wangu umefika...na hapo kurudi nyuma huyo konokono ataumia sana maana kurudi nyuma( riverse) si sawa na kwenda mbele. ..ukilinganisha na mwendo wake ulivyo wa pole kwenye riverse ndo balaa zaidi...na akiamua kubaki hapohapo anatitia kwenye hiyo wembe kwa kukatwa tumbo lake na ndo anaangamia..sasa hapo muafaka ni kwenda mbele tu hamna namna...maana hakuna kisicho na mwisho labda kifo tu.
PICHA 1 = MANENO 1000
Afadhali utangaze kung’atuka ubaki na heshima yako. Unaweza kupata msaada wa kuondolewa kwenye makati. Uking’ang’ania unaweza kuishia kama Gadafi.
Shangazi mtaje bhana wa kukupiga mimba uncle hakuna mwingine.Mkuu ninaogopa kupigwa mimba
Mkuu ninaogopa kupigwa mimba
[emoji216]Lowassa??
Sema kaka Mshana, uwezo wetu wa kufikiri kama umeishia nguvu vile[emoji216]
[emoji216]
Doctor unaogopa mimba [emoji2960]Mkuu ninaogopa kupigwa mimba
Taja mkuu wakitaka kukuteka unawaroga.[emoji216]
Sasa ukitangaza kung'atuka ujue ndo utafunguliwa mashtaka na kufikishwa mahakamani...bora uendelee kung'ang'ania power maana ndiyo inayokulinda for the time being...ila pale utakapokuwa unaondolewa kibabe kama kina Gadafi au Laurent Bagbo basi muda utakuwa umefika..no wayAfadhali utangaze kung’atuka ubaki na heshima yako. Unaweza kupata msaada wa kuondolewa kwenye makali. Uking’ang’ania unaweza kuishia kama Gadafi.
Matatizo ya viongozi wetu ni kuamini ulinzi wa ndani bila kufikiria kuwa mipango inaweza kupangwa nje ya nchi.Sasa ukitangaza kung'atuka ujue ndo utafunguliwa mashtaka na kufikishwa mahakamani...bora uendelee kung'ang'ania power maana ndiyo inayokulinda for the time being...ila pale utakapokuwa unaondolewa kibabe kama kina Gadafi au Laurent Bagbo basi muda utakuwa umefika..no way
Ila mkuu kiti cha madaraka ni kitamu sana...kukiachia kirahisi ni kama kutoka kwenye hali ya utajiri na kurudi kwenye umaskini kitu ambacho hakuna binadamu atakifurahia..Matatizo ya viongozi wetu ni kuamini ulinzi wa ndani bila kufikiria kuwa mipango inaweza kupangwa nje ya nchi.
Rais wa Guinea hakutegemea kuwa mipango ya kumpindua ilipangwa Zimbabwe ikiongozwa na Mark Thatcher pamoja na rafiki yake wa SAS Andrew Mann
Hao wa nje wanaangalia potentials zilizopo, Guinea Thatchers na Mann walijua wakifanikiwa mikataba ya Madura itawawezesha kuuaga umasikini.
Museveni aliulizwa na Zuhra Yunusi kuwa viongozi wa Afrika kupenda kung’ang’ania madaraka kunawashangaza wazungu mnaliona hili ni tatizo?Ila mkuu kiti cha madaraka ni kitamu sana...kukiachia kirahisi ni kama kutoka kwenye hali ya utajiri na kurudi kwenye umaskini kitu ambacho hakuna binadamu atakifurahia..
Akiambiwa awaachie vijana waongoze sababu yeye amezeeka anasema'' I have experience in governance''Museveni aliulizwa na Zuhra Yunusi kuwa viongozi wa Afrika kupenda kung’ang’ania madaraka kunawashangaza wazungu mnaliona hili ni tatizo?
Alijibu matatizo ya Afrika yanamalizwa ki Afrika
Some people think that being in government for a long time is a bad thing. But the more you stay, the more you learn. I am now an expert in governance-Yoweri Kaguta MuseveniThat experience should be passed on to the young generation while he is still alive. He could be their mentor.