Kuna mwana siasa yuko kwenye hali hii sasa hivi

Kuna mwana siasa yuko kwenye hali hii sasa hivi

Some people think that being in government for a long time is a bad thing. But the more you stay, the more you learn. I am now an expert in governance-Yoweri Kaguta Museveni
Ninasikia Uganda hata ukiwa na mkeo chumbani mnamuongelea Museveni, kesho unaitwa kuhojiwa na usalama wa Taifa.
 
Ninasikia Uganda hata ukiwa na mkeo chumbani mnamuongelea Museveni, kesho unaitwa kuhojiwa na usalama wa Taifa.
Hata mkikutwa wawili au watatu mmesimama barabarani mtahojiwa kuwa mnajadili nini😆😆😆
 
Matatizo ya viongozi wetu ni kuamini ulinzi wa ndani bila kufikiria kuwa mipango inaweza kupangwa nje ya nchi.

Rais wa Guinea hakutegemea kuwa mipango ya kumpindua ilipangwa Zimbabwe ikiongozwa na Mark Thatcher pamoja na rafiki yake wa SAS Andrew Mann

Hao wa nje wanaangalia potentials zilizopo, Guinea Thatchers na Mann walijua wakifanikiwa mikataba ya Madura itawawezesha kuuaga umasikini.
Mojawapo ya vitu vinavyonishangaza kuhusu wewe ni kufahamu mambo mengi, ya nyanja nyingi. Your so amazing.

Wewe ni Mojawapo ya watu naotamani kukutana nao mubashara
 
Mojawapo ya vitu vinavyonishangaza kuhusu wewe ni kufahamu mambo mengi, ya nyanja nyingi. Your so amazing.

Wewe ni Mojawapo ya watu naotamani kukutana nao mubashara
Kiinglish chako sasa!
Mkikutana mtumie kiswahili tu kuepuka pollution.
 
Afadhali utangaze kung’atuka ubaki na heshima yako. Unaweza kupata msaada wa kuondolewa kwenye makali. Uking’ang’ania unaweza kuishia kama Gadafi.
Unajidanganya sana kudhani Mzee baba yupo kwenye hali kama hiyo,kwa wapinzani wake sawa.....
 
Back
Top Bottom